white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Acheni lawama zisizo na maana kosa la TFF, ni nini?yaani timu ishindwe kutafuta wadhamini wake ambao ndio wataisaidia timu kweny safari kama hizi!!kwa hiyo tff ndio wawape pesa??hao biashara walifikiria michuano ya kimataifa ni mwendo wa kuunga unga kama safari za ndani?unaweza kusafiri na lori!!huko bila pesa ya uhakika hutoboi.TFF AND IT'S LEADERS SHOULD RESIGN URGENTLY
Wewe hopeless bila simba zingeenda teams 2 na nyie utopwinyo mngeenda shirikisho huko siyo champions league kwa mastaaaaHuna uwezo wa kutubeba we unachofanya ni kuongeza pointi na kufanya tz iingize timu 4
Kuwa Kati ya timu 4 za mwanzo ni juhudi ya timu mwenyewe, kwamba yanga akiwa wa 7 ataenda jibu ni hapana
Vp yanga akiwa bingwa Bado utasema ni juhudi zako kwenda clabu bingwa
Kabla michezo ya afrika haijaanza tff waliita viongozi wa teams zote nne wawape semina biashara hawakutokea wakidai hawana nauli ya kufika dsmKuna uzembe mwingi sana katika uendeshaji wa soka kwa vilabu vyetu. TFF inabidi sasa ichukue jukumu la kusaidia utaalamu na uzoefu kwa hizi timu ndogo. Wangepanda ndege moja na Azam wakawaacha pale Cairo, wadingekosa ndege kutoka pale.
Sasa kama tatizo ni pesa hao viongozi wanakuwaje wazembe??Tff, hilo sio jukumu lao , wewe ni jukumu lako kutafuta wadhamini.Nimeumis sana hawa biashara na viongozi wao ni wazembe walikuwa wapi siku zote hizo? TFF pia ni wazembe mno nashindwa kuelewa hawana kweli mfuko wa dharula kwa timu changa kama hizi na hao BARRICK kwenye jezi za biashara wanafuata nini?
Kwan biashara wameshindwa kusafiri kutokana na pesa au changamoto za usafir wa anga kwenda Libya??
Well kuanzia juz mm namckia msemaji WAo akisema kuwa kwenda Libya inabid upite Sudan na Sudan anga lao linafungwa weekend cause hawafany kaz weekendPesa ndio sababu. Sema wanajizungusha tu
Well kuanzia juz mm namckia msemaji WAo akisema kuwa kwenda Libya inabid upite Sudan na Sudan anga lao linafungwa weekend cause hawafany kaz weekend
Na pia waliomba mpira usichezwe Libya ila waligonga mwamba
Tulisema yule msomali hafai kabisa kuongoza TFF haya ndio mambo alitakiwa ashughulikie lakini wapi. Kazi kubebwa tu na wanasiasa wa ccm.
Mnatupa lawama zisizo na msingi, hapo kosa la TFF ni lipi?Ni Uzembe Mkubwa Sanaaa Wa Timu Kushindwa Kusafiri, Hamna Viteteo hapoooo. NI UZEMBE TUUU
Timu inashindwaje kwenda Libya Hapo?
Wameng’ang’ania Kukodi ATCL Wanaakili? ATCL na International Flights Wapi na Wapi? Shirika hili badooo sanaaa…
Wangeongea na
Turkish Airlines
Tunisiair
Egypt Air
Ethiopian Airlines
Kenya Airwars
Precion Air
Mmoja Wa Hawa Asingeshindwa Kuwasafirisha.
Basi wameshindwa Kabisa, Wangeenda Hadi Algeria, Au Sudan Wachukue Bus Pale Chap Wapo Libya.
Wameshindwa Kabisa Wangeongea Na TRIPOLI wenyewe sio Wenyeji wa Mchezo na Wapo mji ambo ndio kuna International Airport wangewatafutia Ndege, Wao Walikujaje?
Libya wale Wanapigana kila siku Wameweza Kusafiri hadi Tanzania. Sisi tuna Amani kila Siku tumeshindwa Kwenda Libya Kweli? Hivi hii Amani yetu inatusaidia nini? Kuna Muda Unaona Kuna Upuuzi Sehemu.
Karia Atatoka na tumbo lake atajisifu amelifikisha Shirikisho Sehemu, Sehemu gani timu inashindwa kwenda Libya?
Ni pesa ndiyo tatizoKwan biashara wameshindwa kusafiri kutokana na pesa au changamoto za usafir wa anga kwenda Libya??
Kwa hiyo simba kuhangaika kote ni ili zipatikane nafasi nne?mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa baada ya kuwasubiri wanajeshi wa mpakani kwa dakika 15 referee atatoa ushindi kwa waarabu
Kifuatacho ni rungu la CAf ..ujinga kabisa what a shame..jasho la simba linapotea bure .....NAFASI NNE ZINAHANGAIKIWA NA SIMBA KWA MARA YA PILI SASA ILA WAPUUZI WANAZIPOTEZA KIJINGA WENGINE WANAPITISHIA PESA MLANGO WA NYUMA KUVIPA VITEAM VIDUCHU ILI WACHEZAJI WA SIMBA WAUMIZWE WASIWIEZE KUCHEZA MICHEZO YA KIMATAIFA...
MBAYA ZAIDI WANAOHUSIKA NA UJINGA HUU HATA KUSAIDIA NAULI YA TEAM WANAKAUSHA KIMYAA KAMA SIYO WAO....
SIMBA WARUHUSIWE KUCHAGUA TEAM ZA KWENDA NAO MWAKANI...HUU UJINGA UMETOSHA SASA MAAN KUNA WAPUUZI WENGINE HATA TUKIWABEBA WAO ROUND ZA AWALI TU OUT ILA MIDOMO MIREFU KAMA CHUCHUNGE
View attachment 1984342
Mafala ni wa kuachana nao...Nyau wanachekesha sana, wanasahau wao ndo waasisi wa kutoa bonus za kukamia mpinzani (rejea makonda kutoa 20m) leo akitoa mwingine ni ametumwa na wananchi awavunje miguu hahahahaha
Jasho linapotea linapotea hahahaha kwamba alitumwa
Sasa walikuwa wanaona aibu kusema hawana nauli auAzam hawajasafiri kwa ndege ya kukodi.. azam wamesafiri na ndege ya abiria ya kawaida.. biashara walikuwa hawana nauli. Maana ndege za abiria kila siku zipo. Hata ndege waliopanda azam biashara wasingeweza kupanda bila nauli
Swala sio kufaidi na mimi wapi nimetaja neno "kufaidi" unless wewe ni mbumbumbu huwezi kuelewa mambo. The Somalian is inefficient and a poor excuse for a soccer body's president.Basi nenda wewe muhutu ukongoze tff kama unaona msomali anafaidi sana.
TFF wana jukumu la kutafuta ufumbuzi pale mazingira kama haya yanapojitokeza.acha kupotosha kwani tff ina kosa gani? ulitaka tff ndo walipe gharama za kusafirisha timu? labda ingekuwa timu ya taifa ndo uongee hivyo