Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sera zetu 👉 Panga mkononiNipo mzee baba Intelligent businessman 🤣
👉Roho begani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sera zetu 👉 Panga mkononiNipo mzee baba Intelligent businessman 🤣
Wenzetu wana Pambana, kuwa na vitega uchumi vingi vyenye kuwaletea hizo 3000 tatu za kutoshaNdio maana tunashindwa kushindana na wahindi na wachina. Wenzetu hiyo faida ya 3000 kwa siku ni nyingi mno na kwa kuwa wana nidhamu ya biashara wanafanikiwa sana.
Sio 3000, Ni zaidi. Nimenunua bodaboda namba d kwa 1.3m mpyaaBinafsi niko njiani kuianza hii biashara ndani ya mwezi mmoja. Sioni faida kuiweka 2.3M banki na mitozo yote hii kuliko kuikosa 3000 ya siku, nani atanipa bure?
Hahaha kama kawaSera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Diversification ni muhimu sana kwenye uwekezaji Mo na SSB mpaka sasa bado wanawekeza sehemu tofauti tofauti hawajaridhikaWenzetu wana Pambana, kuwa na vitega uchumi vingi vyenye kuwaletea hizo 3000 tatu za kutosha
💯🤝nidhamu ya biashara
Dah qqmmkmfano Mchoma mahindi anaingiza mpaka 15k per day
Mkataba kwa siku 10k wengine hadi 12k ndani ya mwezi unaingiza 300k hadi 360kBinafsi niko njiani kuianza hii biashara ndani ya mwezi mmoja. Sioni faida kuiweka 2.3M banki na mitozo yote hii kuliko kuikosa 3000 ya siku, nani atanipa bure?
Never carry all your eggs in one bucket by Warren buffetDiversification ni muhimu sana kwenye uwekezaji Mo na SSB mpaka sasa bado wanawekeza sehemu tofauti tofauti hawajaridhika
I agree with him 💯Never carry all your eggs in one bucket by Warren buffet
Kumbe mwanafunzi una nielewa vyema.Mkataba kwa siku 10k wengine hadi 12k ndani ya mwezi unaingiza 300k hadi 360k
Ukiwa nazo mbili 600k hadi 720k kwa mwezi
Tuseme zote ulinunua used kwa 1.3m + 1.3m= 2.6m
Ndani ya miezi 4 umerudisha hela yako yote uliyonunulia unaanza kutengeneza faida
NB: Nidhamu ya matumizi, usimamizi mzuri wa chombo, usicheke na dereva kuwa kauzu
Bajaj tuiweke kwenye mjadala ujaoKumbe mwanafunzi una nielewa vyema.
👉Msisahau na bajaji. Ntawapa dark secret kuhusu hivi vyombo vya moto
Kuna siku nikivurugwa ntawapa siri, inayo nisaidia kufika sehemu. Kupitia businessBajaj tuiweke kwenye mjadala ujao
Mautundu mengi hadi kwenye Canter, Fuso bajaj na Double (Mbawa)
Usingizi hauna baunsa aisee 😀Mzee wa kupambania umepotea??
Iam just flexingUsingizi hauna baunsa aisee 😀
Kwel mkuuDah qqmmk
"Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja"Nina mwaka mmoja sasa katika hii Biashara.
Mimi Huwa nawapa vijana Pikipiki mpya FEKON Kwa MKATABA Wa miezi 11 au 12. Mahesabu ni 100,000/= Kila baada ya siku 10 yaani Kwa Siku ni hesabu ya 10,000/=.
Vijana wengine sio waaminifu na kweli hamna mtu mkamilifu Kwa asilimia 100% changamoto zipo anaweza kupata dharula, ajali, kuumwa au matatizo binafsi tu. Ambayo Kwa hizo siku 10 anaweza kukuletea 60K au 70K au 80K etc ila Hamna shida Huwa naandika kama deni ambalo baadae Mkataba ukiishi naongea nae Tena mezanii.
Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja.
Mwaka Huu nataka nijaribu Kwa kununua Pikipiki USED na nianze kuwapa vijana Pikipiki USED za 1.2M -1.5 Millions Kwa Mikataba ya miezi 7 mpka miezi 8. Ili nitengeneze Faida nyingi Kwa muda mchache na Kwa kutumia Hela ndogo badala ya kununua Pikipiki mpya ya 2.3M.
Changamoto zipo lakini usikate Tamaa, Kila Biashara inachangamoto zake.
Vijana wapo mtaani kwako ni swala la kupeana Mkataba mbele ya mashahidi wa pande zote mbili na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika.