MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Nashukuru kwa mchango wa mawazo!Pole sana ndugu yangu. watafute wapenda tena mujahidina kabisa ndo anakufaa kwani wewe unawatafuta vibaka tu. Pia nenda kijijini kwenu tafuta kijana aliyetulia mwambie unampaka zi kisha awe konda kama kuna ujinga atakwambia tena unampamasharti utaona matunda. Ishu ingine wewe usimkabidhi dereva gari mkabidhi konda ndio atafute dereva kwahiyo linakuwa lao sim moja ukiona hivi unapiga chini konda sio dereva waizi ni makonda
all in all nisingekushauri kufanya biashara ya usafirishaji kuwa biashara ya kwanza (i prefer uzalishaji mali).
Ukipata tenda ya kukodisha itakupunguzia presha
Hallo Bwire,
Biashara ya Daladala ni Biashara kichaa.
Ukipata pesa Jenga Nyumba inayopanda Thamani kila siku.
Dereva wa Daladala anakwambia tajiri ndiye Mwenye gari na sisi ndiyo wenye pesa.
Utadanganywa mpaka utafilisika.
Ili ufanye Biashara ya Daladala lazima uanze kuendesha wewe mwenyewe iliujue unapata kiasi gani na mabao huwa inakuwaje.
Vinginevyo ni tatizo.
We utakuwa ulilinunua kwa mtu na lilikuwa limeshachoka. Na vile vile hukumpata dereva bali mwizi.Nilipopata vicent nilishauriwa kuchukua daladala (Hiace) ili ifanye kazi kigamboni. kupitia JF nilifaninikiwa kuipata. Lakini kilichofuata hapo ni sawa na ndoto ya kutisha!... ukiamka hutamani usinzie tena.
UZOEFU: CHANGAMOTO YA MADEREVA KUTOKUWA WAAMINIFU
ne! Sasa naanza kuhisi kuwa they are probably all the same!! Na inanipunguzia concetration yangu kazini.
Baadhi ya watu wanasema ningeweza kuitumia vizuri kama nikitafuta tenda ya kubeba watoto (Nursery) na kuwa hiyo haina longolongo nyingi. Naomba ushauri wenu wakuu! Pse, pse!!
Kila shughuri ina headache zake. Hakuna iliyo mteremko, ni kukaza buti tuuuuu. Umeshawahi kusikia tabu ya kuwa na teksi? Tatizo ni kuwa watz tunapenda sana biashara zenye kukuza majina huko uswazi kwetu; ANA HIACE TISA HUYO, ANA KOROLA SABA HUYO ZOTE TEKSI. Kumbe kila kororla la ulinunua Tsh 8M, na unaletewa 10,000/= kwa siku.siku nyingine longolongo kibao na hatari ya kutekwa kwa gari.Biashara ya daladala ni HEADACHE.. Nenda nao taratibu ipo siku utatoka tu. Ila sijui utampata wapi dereva mzuri. wapo lkn ni mia kwa mmoja. mara nyingine wanaelewana na TRAFFIC na wanasema wamepigwa bao. Ukiwapa pesa, wanakutana baadae wanagawana.. Kaaazi kwelikweli.
Pole Mkuu.
Kila shughuri ina headache zake. Hakuna iliyo mteremko, ni kukaza buti tuuuuu. Umeshawahi kusikia tabu ya kuwa na teksi? Tatizo ni kuwa watz tunapenda sana biashara zenye kukuza majina huko uswazi kwetu; ANA HIACE TISA HUYO, ANA KOROLA SABA HUYO ZOTE TEKSI. Kumbe kila kororla la ulinunua Tsh 8M, na unaletewa 10,000/= kwa siku.siku nyingine longolongo kibao na hatari ya kutekwa kwa gari.
Kuna mtu ana guta 3 na anakula 10,000/= hadi 15,000/- kila guta kila siku. Guta moja alinunua Tshs. 400,000/= hadi 500,000/=
kuna mtu ana mikokoteni ya maji 5. kila mkokoteni alitengeneza kwa 80,000/-, anakua buku kila mkokoteni kila siku.
Reffering to the bolded part above, inatia uchungu sana hasa nikikumbuka wakati nilioupitia kuzichanga kwa ajili ya hiyo project! These madereva are indeed "heart-less"! Hii ni wiki ya tatu nimeiweka Yard. Najua napata hasara kwa kuiweka yard, but I still consider it as the best thing to do at the moment... At least I have peace of mind. Kila ilipopigwa simu hata kabla sijajua ni nani moyo ulikuwa kama unataka kupasuka...
Wazo la kujenga nyumba kwa ajili ya biashara naliona kama bado ni over-size kwa sasa, hasa ukichukulia ukweli kuwa hata kibanda changu cha kuishi bado kinanipa mtihani wa finishing. Nashukuru kwa ushauri na kwa ku-share experience yako kuhusu biashara ya daladala.
Kila shughuri ina headache zake. Hakuna iliyo mteremko, ni kukaza buti tuuuuu. Umeshawahi kusikia tabu ya kuwa na teksi? Tatizo ni kuwa watz tunapenda sana biashara zenye kukuza majina huko uswazi kwetu; ANA HIACE TISA HUYO, ANA KOROLA SABA HUYO ZOTE TEKSI. Kumbe kila kororla la ulinunua Tsh 8M, na unaletewa 10,000/= kwa siku.siku nyingine longolongo kibao na hatari ya kutekwa kwa gari.
Kuna mtu ana guta 3 na anakula 10,000/= hadi 15,000/- kila guta kila siku. Guta moja alinunua Tshs. 400,000/= hadi 500,000/=
kuna mtu ana mikokoteni ya maji 5. kila mkokoteni alitengeneza kwa 80,000/-, anakua buku kila mkokoteni kila siku.
yaani sina hamu kabisa na Teksi wala hiace; ni afadhali nikalime miwa tu! nilikuwa na taaksi 2 moja imegongwa dereva akasepa na nyingine kwa kukosa usimamizi nimeiuza kwa hasara; afadhali nimgempeleka mama yangu atembeleaa kwani huenda mpaka leo ingekuwepo! Kibaya ni kuwa inakubidi uache kazi zako ufuatilie hizo gari; sasa huo ni mtadi wa aina gani! Aarrrgh!😡Kila shughuri ina headache zake. Hakuna iliyo mteremko, ni kukaza buti tuuuuu. Umeshawahi kusikia tabu ya kuwa na teksi? Tatizo ni kuwa watz tunapenda sana biashara zenye kukuza majina huko uswazi kwetu; ANA HIACE TISA HUYO, ANA KOROLA SABA HUYO ZOTE TEKSI. Kumbe kila kororla la ulinunua Tsh 8M, na unaletewa 10,000/= kwa siku.siku nyingine longolongo kibao na hatari ya kutekwa kwa gari.
Kuna mtu ana guta 3 na anakula 10,000/= hadi 15,000/- kila guta kila siku. Guta moja alinunua Tshs. 400,000/= hadi 500,000/=
kuna mtu ana mikokoteni ya maji 5. kila mkokoteni alitengeneza kwa 80,000/-, anakua buku kila mkokoteni kila siku.
Thanks Ngalikihinja,
Nimepokea challenge ya what matters is not how much you are investing, but the returns!Kwa mtazamo huo guta linaweza kuwa na faida kuliko biashara iliyoku-cost hela nyingi tuu.
I should admit pia kuwa JF ni mahali ambapo napatumia kujifunza mambo mengi sana. Na it was JF that made me set my foot into this bussiness, ambayo honestly I do not think it is that bad. Issue ni management hasa kwa mtu amabaye unafanya monitoring kwa simu.
Mkuu I have been moved by your analyisis on biashara ya guta na mkokoteni! Tunachomiss ni knowledge or rather awareness kuhusu biashara kama hizo ambazo unaweza ku invest less na kupata return ya kueleweka tuu. Maana kupata mtu anayejihusisha na biashara ya guta/mkokoteni ili ujifunze, hilo tuu ni mtihani tosha. Mfano mdogo tuu, si rahisi ukapata thread ndani ya JF inayoongelea kitu kama hicho. May be we are underestimating them kwa sababu unachosema status ya mtaani.
So far, mchango wako wa mawazo na changamoto imepokelewa! Thanks!!
si utakuwa umemfungia fisi buchani? ndio ataikongoroa kabisa kwa mwezi mmoja tu.Sababu hana uchungu nayo.pole sana mkuu,
madereva wa daladala ndiyo tabia yao. pole sana!
tafuta tu dereva mwaminifu!
Ushauri:
Wewe mkabidhi gari. Mwambie hii nakukabidhi wewe. Mpunguzie hesabu mpaka labda 35. Kisha mwambie aihudumie kila kitu, Na wewe hutaki kusikia longolongo lolote. Mwambie akupe hesabu ya wiki nzima!
Hayo mambo ya bao, sijui nini ni juu yake, wewe hayakuhusu!
Hapo lazima uwe na roho ya paka la sivyo utakuwa unafanya biashara ya kuuza ubuyu na visheti kila siku!
Hii tabia ya kifisadi inaturudisha nyuma wote; baada ya muda naye unamkuta kijiweni anasota akili ya matope kabisa!si utakuwa umemfungia fisi buchani? ndio ataikongoroa kabisa kwa mwezi mmoja tu. Sababu hana uchungu nayo.