Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

kweli umoja ni nguvu.tatizo hii industry nimekuja kugundua wengi si watumiaji hata wa email.though i could try to mobilize pple within JF
condition ya hizi gari ni nzuri,zimesajiliwa TZ kwa mara ya kwanza in 2010 feb.
Mkuu NM; hizo gari ziko kwenye condition gani? na zinafanya route ipi?
 
Tuwasiliana hata mie ninazo hapa mjini nitakupa uzoefu wangu,usichanganye hii biashara na kazi zako zingine .Awali nilikua nafanya hivyo nilitaka kuchanganyikiwa.
Asante sana kwa ushauri,zinapiga root ya mbagala -buguruni. nimeamua kuzitoa nitafute njia nyingine. kweli Mkuu inachanganya na kupasua kichwa ukichanganya hii biashara na kazi zingine.

Mkuu unazongapi.Je unaweza kufanya management on my behalf.

Leo nimeingia ktk majadiliano na rafiki yangu mmoja yeye ana Taxi7 in town,amenieleza jinsi anavyomanage ,ameoffer kufanya management .hatujaafiki Management Fees.so bado nipo ktk mchakato ,ntatoa feedbak soon.
 
Mkuu hii biashara ni nzuri sana tena inalipa aswa pale unapoisimamie 100% utaipenda hakikisha gari zipokwenye hali nzuri na umekamilisha vibali vyote shukuru upate madereva wazuri ucwape hesabu kubwa sana ingia nao mkataba wa maandishi kabisa umpe masharti yako moja kutunza gari, hesabu kila siku icpotimia deni, akigonga kwa uzembe wake analipa, akikamatwa na makosa ya uzembe kama kutokuvaa uniform akiandikiwa ni yake, kusimama juu kwa juu akiandikiwa ni yake alafu wape mtaji wa full tanki na kila siku akirudisha iwe full yani antakiwa aendeshe kama ofisi ila inatembea ni pm kwa mengi zaidi.
 
mkuu hii biashara ni nzuri sana tena inalipa aswa pale unapoisimamie 100% utaipenda hakikisha gari zipokwenye hali nzuri na umekamilisha vibali vyote shukuru upate madereva wazuri ucwape hesabu kubwa sana ingia nao mkataba wa maandishi kabisa umpe masharti yako moja kutunza gari,hesabu kila siku icpotimia deni,akigonga kwa uzembe wake analipa, akikamatwa na makosa ya uzembe kama kutokuvaa uniform akiandikiwa ni yake, kusimama juu kwa juu akiandikiwa ni yake alafu wape mtaji wa full tanki na kila siku akirudisha iwe full yani antakiwa aendeshe kama ofisi ila inatembea ni pm kwa mengi zaidi

Asante sana kwa kunitia moyo! nilishakuwa na wazo la kuziuza,Mkuu Mahesabu & Dr.Phone mmenitia moyo sana.my view and approach is changing.
nimebanwa na majukumu mengi ,kusimamia imekuwa mzigo kidogo,hence hizo hasara etc.sasa naanza kureview biashara.nimo ktk maongezi na mtu on how he can manage the bizness 🙂
 
Kwanza pole sana, halafu, hii ndio Tanzania. Uwajibakaji mdogo kwa majority ya wafanyakazi.

Hayo ndio maafa na mabaki ya siasa za mali ya umma. Imefikia watu hawajali kabisa mali ya mtu na bado imo ndani ya damu yetu ile kitu "mali ya uma".

Hata ufanye biashara ipi, mambo ndio hayo hayo kwa wafanyakazi (majority) si wote, kuna wachache ambao wako reliable, lakini kuwapata ni shida sana kwani wapo kwenye high demand.

Nakushauri, ukipiga mahesabu ya kuanzisha biashara kumbuka kuhesabu incompetence na unreliable employees kama moja ya expense factors, mimi huipa 30% ya projected revenues kuwa zitapotea kwa hayo mawili.
 
Wakuu, naona mpo kadhaa wenye biashara hiyo hapa JF kwa nini msiorganize muanzishe kampuni na muwe professional? Nafikiri hii ingekuwa endelevu zaidi na haya matatizo mtayatatua pamoja na kuweka strategies nzuri na mtakuwa mfano wa watu wengine kufanya biashara ya daladala kama kampuni, kwa mtazamo wangu naiona hii ni industry ambayo haijapata watu wenye mtazamo mkubwa wa kueploit vizuri zaidi ya kila mtu kujichukulia kijipande chake akale kwake!

Inaweza ikawa ni initiative mpya kabisa ya kuanza kuleta watu kuumiza kichwa na ikaleta solution nzuri ya usafiri na msongamano wa Dar!

Sijui kama nimeenda mbali nje ya topic, nawakilisha!
 
mzuzu ... nakubaliana na wewe ... south africa wao bishara ya dala dala wanaita Taxi .... na kuna association ya Taxi owners kubwa sana ambayo basically inaoperate management wise ..... kama una taxi(daladala) unaipeleka kwenye umoja huo ... halafu unaingia mikataba na unapangiwa route ya daladala yako na mnakubaliana mapato ... hutokaa kuumiza kichwa hata siku moja na wala hata hautajua dereva ni nani... pesa zako utazikuta benki kila wiki zinaingia bila usumbufu
 
Dah! Poleni sana ila msiishie kulaumu madereva, hilo foleni la dar nafikiri nalo linachangia sana kukata makato.
Kuna dereva mmoja alikabidhiwa gari kama leo kesho akarudisha. Kisa, siku nzima waliyofanya kazi walivyotoa mafuta na pato la bosi wakabaki na tsh500 tu, wakagawana na konda wake 250.
Pia angalieni na hayo magari. Mengine yanakula mafuta sana.
 
Asante sana kwa ushauri,zinapiga root ya mbagala -buguruni. nimeamua kuzitoa nitafute njia nyingine. kweli Mkuu inachanganya na kupasua kichwa ukichanganya hii biashara na kazi zingine.
Mkuu unazongapi.Je unaweza kufanya management on my behalf.
Leo nimeingia ktk majadiliano na rafiki yangu mmoja yeye ana Taxi7 in town,amenieleza jinsi anavyomanage ,ameoffer kufanya management .hatujaafiki Management Fees.so bado nipo ktk mchakato ,ntatoa feedbak soon.
mkuu ndo hivyo,dawa yake ni kutafuta management,ninazo 15,nina management team ya watu wanne.Huwa hatuwasiliani hadi mwisho wa mwezi,ndo tunapeana mahesabu,nimewakabidhi mamlaka yote.Ila kwa hili unahitaji mtu mwaminifu hasa ndugu wa karibu itakua vizuri zaidi,maana si unajua wabongo kwa kuchakachua.
 
Wakuu, naona mpo kadhaa wenye biashara hiyo hapa JF kwa nini msiorganize muanzishe kampuni na muwe professional? Nafikiri hii ingekuwa endelevu zaidi na haya matatizo mtayatatua pamoja na kuweka strategies nzuri na mtakuwa mfano wa watu wengine kufanya biashara ya daladala kama kampuni, kwa mtazamo wangu naiona hii ni industry ambayo haijapata watu wenye mtazamo mkubwa wa kueploit vizuri zaidi ya kila mtu kujichukulia kijipande chake akale kwake!

Inaweza ikawa ni initiative mpya kabisa ya kuanza kuleta watu kuumiza kichwa na ikaleta solution nzuri ya usafiri na msongamano wa Dar!

Sijui kama nimeenda mbali nje ya topic, nawakilisha!

Mzuzu haujaenda nje ya topic,upo sahihi.Mawazo yako yanachangia kuboresha transportation industry,tatizo kubwa ndugu hii nchi yetu hakuna linalowezekana na kinyume chake.
 
mzuzu ... nakubaliana na wewe ... south africa wao bishara ya dala dala wanaita Taxi .... na kuna association ya Taxi owners kubwa sana ambayo basically inaoperate management wise ..... kama una taxi(daladala) unaipeleka kwenye umoja huo ... halafu unaingia mikataba na unapangiwa route ya daladala yako na mnakubaliana mapato ... hutokaa kuumiza kichwa hata siku moja na wala hata hautajua dereva ni nani... pesa zako utazikuta benki kila wiki zinaingia bila usumbufu[/QUOTE]

mkuu hapo kwenye red mfumo huu ukijaribu tu hapa umekwisha
 
mkuu ndo hivyo,dawa yake ni kutafuta management,ninazo 15,nina management team ya watu wanne.Huwa hatuwasiliani hadi mwisho wa mwezi,ndo tunapeana mahesabu,nimewakabidhi mamlaka yote.Ila kwa hili unahitaji mtu mwaminifu hasa ndugu wa karibu itakua vizuri zaidi,maana si unajua wabongo kwa kuchakachua.

ogapa hao watu bora mtu baki atakuwa na woga utamchukulia hatua za kisheria lakini ndugu mh? ana hofu yoyote ile
 
Wadau mimi na mwenzangu tunajipanga kuingia katika transpotation Industry. Lakini tunataka kuanza na hizi Hiace ndogo kwa kuwa mtaji wetu ni mdogo.

Sasa naomba ushauri kwa wana jamvi wenye uzoefu katika hii industry, ni hipi itakuwa chaguo zuri la gari la kuanza nalo kati ya Toyota Hiace or Nissan Caravan?
 
watakuja na kukujibu waneye utaalamu na hizo biashara
 
Toyota hiace inafaasana kwa daladala inahimili na inafaa sana,ila caravan usiguse ndugu zinawahi kuchokasana na haziwezi kuhimili vishindo vya kazi ya dala5.
 
Toyota hiace inafaasana kwa daladala inahimili na inafaa sana,ila caravan usiguse ndugu zinawahi kuchokasana na haziwezi kuhimili vishindo vya kazi ya dala5.

Asante sana mwera kwa ushauri wako. mkoa tutachagua kati ya mwanza na Dar
 
Asante sana mwera kwa ushauri wako. mkoa tutachagua kati ya mwanza na Dar
Kwa mikoa uliotaja, Toyota Hiace ndo inafaa lakini kwa Dar Toyota Hiace Diezel ndo inafaa. Kwa Mwanza pia inategemea ni njia gani uta prefer. Kama ni njia ya Igoma chukua Hiace ya Petrol. ANGALIZO: Kwa uzoefu nilioupata, Toyota Hiace petrol ni bora sana kwa Tz coz ni cheaper 2 maintain.
 
Back
Top Bottom