Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huisha bila habari, ashukukuru sana mkuu
Weka Mpesa na TiGo Pesa pia
Chukua huu ushauri mkuu.
Huwezi kuchukua assumptions za watu tu, angalia kitu gani kinauliziwa
Nashukuru sana.Weka na bites/snacks mfano crips(ndizi,viazi)ubuyu wa Zanzibar preferably, karanga(mayai nk), afu weka na huduma za kifedha(mpesa, tigopesa nk),kila rakheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaandika gazeti mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli sema wakati mwingine unakuta kitu hakiulizwi ila ukikileta kinapata mvuto na kinachukuliwa.mfano juice ya ukwaju azam ilikua haiuliziwi lakini baada ya kuileta inachukuliwa.mawazo yawadau ni muhimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nami nikupe ushauri wangu kwa kipindi ambacho wanaingia wanachuo wa mwaka wa Kwanza (wapya) basi hapo mbele ya duka lako weka meza na uuze vitu vya electronic kama charge, USB, flash drive, Bluetooth speaker, memory card, earphones, cover za simu n.k
Note: Ni kwa kipindi tu ambacho first year wanaingia (biashara ya msimu).
NashukuruFanya vyoote lakini KAULI NZURI kwa wateja ni msingi. Maneno kama 'Asante', 'Karibu tena' ni madogo lakini yana maana kubwa sana kwa mteja.
Weka tigo pesa . M pesa. Mix makava ya simu protector chaja. UtafanikiwaView attachment 1317898
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee I am impressed with your spirit of positivism. Kiukweli watanzania wengi wetu tuna negativity sana hata kwenye masuala ya msingi. Nakupongeza sana na nitakutafuta kwa ushauri zaidi maana na miminiko mbioni kufungua biashara hii ya duka la reja reja.Sio kila siku ni jumapili ila matairi ya gari ndo hayana rangi nyingine zaidi ya nyeusi. Duka siuzi mwenyewe anauza mdogo wangu na kwa miezi miwili na sasa watatu tutaumaliza soon mambo yanaenda kama nilivyosema hapo juu. Bora kuwa positive kwa kutoa changamoto na suluhisho lake. Yes tunajua kama ukiajiri mtu hasa kwa maduka haya anaweza kukuulia mtaji, na si wote wanaweza kufanya hivyo. Mazingira unayoyaweka mwenyewe kwenye duka, na jinsi ulivyo mgroom huyo muuzaji ndo yatakuwa maamuzi wa mwendelezo wa biashara yako.
Bro salaam na heri ya mwaka 2020. Natumai unaendelea vema na biashara ya duka na kwa sasa umeshaizoea na yenyewe imekuzoea tayari.yello masai,
Ni kweli mkuu pole pole tu mambo yanaenda, siku za mwanzo ni issue ila nilipata imani sana kuuza bidhaa za 10,000 kwa siku na kuna siku mauzo yanafika 200,000 kwa siku. Hapo toa tigo pesa na mpesa ambazo commision ya kwanza nilipata jumla 160,000 kwa mwezi.
Mimi bwana naliangalia hili duka kwa mbali sana, nimekula amini sitoi chochote dukani kwa miaka miwili. Faida yote naidumbukiza dukani kununua vinavyohitajika na inayobaki naiweka bank.
Baada ya miaka miwili nitafanya tathmini kuona mwenendo wake ulikuwaje for those two years. Ila so far so good.
Unaposema nauza let say 50,000 kwa siku. Hiyo ndiyo inakuwa faida au faida ipo ndani humo humo?Mkuu faida ya duka la rejareja ni kati ya 10% hadi 18%. Na hilo ni duka gani uuze 300,000 kwa mwezi? Mi nina duka la mtaji 2 mil nauza kati ya elfu 40 hadi 60 kwa siku pia nina genge nauza elfu 25 hadi 40 kwa siku. Na trend ya msuzo inakuwa positively
Kuuza laki 3 kwa mwezi maana yake unauza elfu 10 kwa siku. Hapo unakuwa ulifungua duka bila kupata ushauri au kupiga hesabu zako vizuri