Biashara ya duka stress tupu

Kama mm pia
 
KUDOWNLOAD tu pesa... Nimeipenda hiyo. mwiko ku UPLOAD tu pesa.😀😀
 
kwenye poultry kuna mziki mwengine huko, wa matunzo mana makuku haya ya kisasa, mmh! maybe kama utafanya na wa kienyej
Bora poultry kuna Uhuru wa muda

Unaingia shamba saa 7 unawahudumia hadi mida ya saa 8 mchana unawatizama tena then unawez ukaendelea na mambo mengine kijana wa kaz au wife akaja kuwakagua tena in fact poultry hakuna stress
 
Ukiachana na biashara ya kuzalisha mean kiwanda. Ukweli me huniambii chochote kuhusu duka. Maisha ya biashara ni matamu asikwambie mtu..
In fact biashara ya ufugaji haina stres no way duka stress tupu

Now na make nifanye poultry
 
Kweli kabisa mkuu
 
Imani dhaifu hizo za kurogwa
Unajiroga mwenyewe kama kitu unachofanya hukifurahii

Biashara unataka utajirike kwa mwaka mmoja tu
Unafikiri wenye maduka hawana social life
 
Biashara ni wewe mwenyewe
 
Naomba niweke kumbukumbu sawa nafanya biashara ya duka mwaka wa 3 sasa na inaenda vizur ila na inanipa faida nzur tu

Ila haina free time yani no bataz muda wote upo shop

But my future nanza kukita mizizi kwenye poultry cuz ndo itanipa free time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…