Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue pesa za kuroga sasa hataki msogelee ili msije kuondoka kikafara yeye ameshajitoa kafara hataki mwingine tena apitie huko..Bongo bahati mbaya....unakuta dingi ana hela hatari ila hataki mwanae yoyote atie mguu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwamba waarabu na wahindi hawazaliani? Jibu ni kwamba sisi hatuna mpangokazi watoto hawasomeshwi atakaesoma ni mmoja wakizidi wawili wengine wanabaki kuwa aidha walalamikaji au machawa wale wawili wasomi ambao wana ajira za michongo. Wenzetu wamesoma na mzee keshaandaa nani atarithi na nani atakua wapi lazima wafuate tuTutazunguka lakin shida ni
#1, wingi wa familia, baba akifa mali zinakuwa za ukoo, mara baba mkubwa sijui mjomba, tofaut na wenzetu baba akifa mali inabaki ya familia tu
#2. Familia kuwa na watoto wengi, familia mzee ana watoto 12 kwa mama watano,
No way utawaweka hawa kwenye kampuni moja wafanye kazi, hata wawe wazungu hawatoboi
#3. Malezi yetu tu jinsi yalivyo
Wahindi hawana watoto wengi kaka,Kwamba waarabu na wahindi hawazaliani? Jibu ni kwamba sisi hatuna mpangokazi watoto hawasomeshwi atakaesoma ni mmoja wakizidi wawili wengine wanabaki kuwa aidha walalamikaji au machawa wale wawili wasomi ambao wana ajira za michongo. Wenzetu wamesoma na mzee keshaandaa nani atarithi na nani atakua wapi lazima wafuate tu
Bado zipo, mjini hapa ukiwa na hamu nazo nenda pale mwembechai ofisi tHizi anjari kumbe bado zipo
Mpka kwa bibi duhBado zipo, mjini hapa ukiwa na hamu nazo nenda pale mwembechai ofisi t
za tashriff Kuna bibi huwa anaziuza
Hawa wahindi watupe maujuzi aisee, mashamba ya babu wajukuu wameshindwa endeleza na kwa kikao kikuu wamekubaliana wauze wagawane mshiko..... ngozi ya pumbu shida sana
Hawa wahindi watupe maujuzi aisee, mashamba ya babu wajukuu wameshindwa endeleza na kwa kikao kikuu wamekubaliana wauze wagawane mshiko..... ngozi ya pumbu shida sana
Tufanyeje mkuuwaafrica sisi hua ni puusy hunter, kuzalisha, alie na akili kidogo anasomesha ukimaliza jitafute mwenywe imeisha iyo, ukifanikiwa ni wakwetu ukifail iyo niwewe mwenywe jibebe na tunakutenga
Hao watoto watatu au wanne wanaweza kuwa kichomi pia kwa wao kutokuelewana na kuleta migogoro isiyoishaWahindi hawana watoto wengi kaka,
Mo ana watoto watatu tu,
Bakhresa anao wanne,
Na wote wa mama mmoja
Ndugu zetu wachaga wajitaidi kidogo. Mfano marehemu mengiKutengeneza biashara ambayo itadumu vizazi na vizazi sio kazi ndogi hasa kwa ngozi nyeusi. Yapo mambo mengi sana yanachangia bishara hizi kufa mapema ikiwa ni pamoja na nyingi kuendeshwa bila mpango maalumu yan biashara inaenda ili ikidhi mahitaji ya familia basi lakini haina succession plan na hapa ndipo hawa wahindi na waarabu wanapotuzidia
Watu wanakaa kikao kabisa tena wanasema mali iuzwe wagawane sabb haina mwenyewe kila mtu akafie kivyake 🤣
Mwamba The Monk amechekaHawa wahindi watupe maujuzi aisee, mashamba ya babu wajukuu wameshindwa endeleza na kwa kikao kikuu wamekubaliana wauze wagawane mshiko..... ngozi ya pumbu shida sana
Mwamba acha uvivu. Skip hata kulike kwa masaa machache ukachangamkie anjari ukidhi kiu.Mpka kwa bibi duh
Maduka mengine hamna