Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

Tutazunguka lakin shida ni

#1, wingi wa familia, baba akifa mali zinakuwa za ukoo, mara baba mkubwa sijui mjomba, tofaut na wenzetu baba akifa mali inabaki ya familia tu

#2. Familia kuwa na watoto wengi, familia mzee ana watoto 12 kwa mama watano,
No way utawaweka hawa kwenye kampuni moja wafanye kazi, hata wawe wazungu hawatoboi

#3. Malezi yetu tu jinsi yalivyo
Kwamba waarabu na wahindi hawazaliani? Jibu ni kwamba sisi hatuna mpangokazi watoto hawasomeshwi atakaesoma ni mmoja wakizidi wawili wengine wanabaki kuwa aidha walalamikaji au machawa wale wawili wasomi ambao wana ajira za michongo. Wenzetu wamesoma na mzee keshaandaa nani atarithi na nani atakua wapi lazima wafuate tu
 
Wahindi hawana watoto wengi kaka,
Mo ana watoto watatu tu,
Bakhresa anao wanne,

Na wote wa mama mmoja
 
Hawa wahindi watupe maujuzi aisee, mashamba ya babu wajukuu wameshindwa endeleza na kwa kikao kikuu wamekubaliana wauze wagawane mshiko..... ngozi ya pumbu shida sana

waafrica sisi hua ni puusy hunter, kuzalisha, alie na akili kidogo anasomesha ukimaliza jitafute mwenywe imeisha iyo, ukifanikiwa ni wakwetu ukifail iyo niwewe mwenywe jibebe na tunakutenga
 
Kutengeneza biashara ambayo itadumu vizazi na vizazi sio kazi ndogi hasa kwa ngozi nyeusi. Yapo mambo mengi sana yanachangia bishara hizi kufa mapema ikiwa ni pamoja na nyingi kuendeshwa bila mpango maalumu yan biashara inaenda ili ikidhi mahitaji ya familia basi lakini haina succession plan na hapa ndipo hawa wahindi na waarabu wanapotuzidia
Ndugu zetu wachaga wajitaidi kidogo. Mfano marehemu mengi
 
Swali ambalo tunatakiwa tujiulize na kudiscuss ni moja, WAMEWEZAJE?
After hapo tujadili how to do that
Hakuna asiependa hilo, lakn niggaz b selfish as funk. Damn!
 
Back
Top Bottom