Biashara ya Jezi inavyokua kwa kasi, Je zinatengenezwa wapi?

Toka hapa acha uongoo jezi zinazouzika wolves namba Moja za man u zimedoda zipo kibao hapa kariakoo
 
Nini kinavaliwa sana mtaani ndo kinadetermine pia hata mahitaji ya jezi kwa ujumla, then jezi/product yyte kuuza sana tunaangalia kwny stage ya mwsho kabisa yani ya RETAILERS.
 
Jezi ya Newcastle ile ya Mistari na Kijani nazo zinauzika zina logo ya Lisela

ROMA Fc wala Jezi ya rangi ya Cream nayo iko pw sana sokoni
Jezi ya Necastle ya Mistari na ya Kijani Logo yake ni Lisela

Jezi ya Roma Fc ya Yangu ya Cream

Jezi ya timu ya Uarabuni anayocheza Benzama ina rangi ya Blue blue
 
Bila Ajax(Ziggo) na PSG basi hujui jezi kali
 
1. Man City light blue
2. Madrid white
3. Bayern white cream
3. Madrid black
4. Al Nasr green
5. Inter Miami black pink
6. Ajax
7. Tottenham
8. Man U
9. Arsenal
10. Liverpool white green
Weka Arsenal namba moja hapo..
 
Hyo ya AS Roma bdo sjaipata mzee hzo zngne sure znafanya vzurii sana hasa hyo ya Newcastle
 
Soko..., kuna market ya Jerseys / mashabiki hence wauzaji wanatumia fursa....

Kutengenezwa ni pengi tu na bei unayopewa sio necessarily authenticity bali ni eneo lilipo na purchasing power ya wahusika..,

Ukitaka kuhakikisha pesa inaingia kwenye timu yake kanunue kwenye duka la timu au authorized dealer..., Kuhusu timu kunafaika hata isiponufaika kwa faranga itanufaika kwa promo watu wengi kuvaa uzi wao....

By the way uzi mwingi unaonunua / uziwa ni replica....
 
Hapo kuhusu duka la timu au authorised dealer nmekupata sanaaa
 
Wolverhampton timu ndogo lakini kwenye jezi walipatia.
Mimi mwenyewe ninayo.
 
Jezi zinauzwa kkoo buku nane mchina anauza buku mbili jero bei ya jumla, usishangae ukienda mbagala ukakuta inauzwa buku tano
Asee hapa umesema juzi tu apa kabla ya sikukuu ya idi nimeingia k/koo kwamambo yangu mengine tu sinazikuta zimemwagwa kwene meza bei 6000 ,nikasema hizi Mwanjelwa situnajumlishiwa kwa 8000.? Nikajikusanyia kwa uwezo wangu kufika nazo Mbeya nami nikauza teni teni tu chap kwa haraka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…