Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae kisawa sawa, udhalilishaji!

Sasa turudi kwenye mada, habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa wazungu wanaomiliki makampuni ya kamari hapa nchini, zimevujisha kwamba, Kamari ya mpira ni 'addiction' mpya ambayo imekuwa purposely introduced globally ku-replace madawa ya kulevya, biashara hii ya kamari ina faida mara tatu kuliko madawa ya kulevya, na gharama za uendeshaji pia ni robo tu ya gharama ya kusafirisha na kuuza madawa. (And its just as addictive as madawa, ukianza huachi mpaka kufa!)

Mtandao huo wa 'kingpins' ulifanya uchunguzi hivi karibuni na kugundua kwamba, addiction kupitia madawa japo inawatajirisha madhara yake kwa dunia ni kubwa mno kiujumla!, nguvu kazi inapotea kiasi kwamba hizo fedha nyingi huishia kutibu madhara yaliyosababishwa na madawa (Mfano ukikabwa na teja akakutoa utumbo kwa sababu ya Iphone,ili yeye akapate dawa), hivyo biashara hii imepoteza viability. Amevujisha kwamba ma 'king pin' wa biashara hii wameamua ku-eradicate 'addiction' ya madawa hapa duniana na ku-'re enslave' the masses kwa kutumia addiction mpya iliyoboreshwa ya mpira na michezo kiujumla. (its better in every perspective).
(Kama hujaanza mshukuru Mungu na akulinde usiingie huko, ukiingia huko utajuta, kwani huwezi kuacha!), YOU WILL BE ENSLAVED!

Baada ya miaka mitano,65% ya vijana watakuwa wakijishughulisha na 'kusuka mikeka' badala ya kufanya shughuli za uzalishaji bidhaa na huduma. Consequently uchumi wa mataifa (hasa vichwa vya panzi kama 'wadanganyika', stupid kabisa!) utayumba kutokana na watu kutofanya kazi, lakini uchumi wa mataifa yanayomiliki hizi betting systems (hasa wazungu) utapaa kama mbayuwayu.

YOU'VE BEEN WARNED!

DON FRANCIS
=============================
18/05/2018
Update: News Alert: - Wazee Arosto la kubeti halina tofauti


=================================
Update: 03/12/2021


===========================
Update: 20/01/2023

Tutaelewana tu; sasa ni muda muafaka wa kutoa pendekezo nililokusidia toka awali, biashara hii ya Kamari ipigwe marufuku unconditionally, ibaki kwenye maCasino rasmi yenye usajili


========================
Update: 12/04/2023


==========================
Update: May 2023
 
Mmh aisee hatari..ukitaka kujua kuwa hii biashara
ni vigumu serikali kupambana nayo

angalia nchi kama colombia na mexico yaani huko wanampaka majeshi yao ya kujilinda

pia wametengeneza mtandao wao wa simu wa mawasiliano


HII BIASHARA NI NGUMU SERIKALI KUPAMBANA NAYO

PIA HATA ILE NDEGE YA MKULU NINA WASIWASI NAYO

MAANA SAFARI KILA KUMEKUCHA..
 
Unaposema addiction ziko za aina nyingi mkuu
Ukienda Muhimbili kwa wale wanataka kuacha unga, huwa wanakuwa pamoja na wacheza kama lo, wapiga nyeto, wazee wa chabo, Kuna wengine Wana addiction ya kula sana.
Kuhusu hiyo methedone wanaokunywa waliyoathirika na madawa hiyo methedone ni kilevi sema Haina a roster. Na mzungu ni kweli alitengeneza hiyo ku compete na cocaine na heroine.
 
Betting long time iko,hiyo methedone mm nilionaga south africa miaka mengi ili yo pita nchi ya kwanza Kuwa tested huko.
Kuhusu addiction wote wanatibiwa the same mla unga, wazee wa chabo, wazee wa nyeto etc
 
Wewe dogo miyayusho na mpotoshaji kuna siku uliandika hapa watu wa kamari za betting hizi tulizonazo wanavuna zaidi ya bilion kwa siku

ule ulikua uongo dogo jumapili mojawapo nilifika pale kariakoo kwenye premium betting hapa kushoto ukiingia ndio kuna kompyuta kubwa nikaangalia mauzo yalikua ni milion 20 hapo ndio top haya ya jumamosi siku ambayo mauzo ndio huwa juu nikaangalia siku hiyo walilipa milion 30+ hapo wale wa kawaida acha wale wa juu kuanzia milioni na kuendelea

na kuhusu addicted nilianza kubet online kabla ya mashine hizi kuja ila nimeacha sio kama unavyotaka kuamimisha watu.
 
Ninabet, ninafanya kazi na sioni kama kuna addiction yoyote hapo. Kwa mfano, teja hawezi maliza siku bila kubwia unga, ila mimi naweza nikakaa hata wiki sijabet na sioni athari zozote zile..

Ukila unga unakuwa affected healthily and psychologically lakini kubet sioni kama ina athiri chochote unless ufanye kubet kama ni kazi yako ya msingi na si mchezo kama michezo mingine.. Anyway katika kubet pesa niliyopata ninakaribia kununua kavits sasahivi. Kubet kunanisaidia sana kiafya na kiuchumi, sababu nime divert yale matumizi ya weekend ya bia na nyama na kuhonga wahudumu na marafiki kule bar nimeamishia hilo fungu kwenye betting na huwa linanipa faida. Mwanzoni weekend ilikua inanimalizia hadi laki kwa kima cha chini lakini sasa napata zaidi ya laki kama faida kila weekend.

All in All kubet sio mashindano wala full time job, ukiendekeza unafilisika na utaishia kubwia unga
 

Kuna watu wako addicted kamali za slotted machine,online betting pia, Kuna kamali za uswazi pia hii ya mpira si ya juzi juzi tu
 
Biashara ya Madawa ya kulevya haiwezi kuisha hata iweje.
 

Acha wivu ukitaka kubet ruksa, kila siku tunapiga mpunga wa maana
 
Mkuu kidogo katereza,kamali iko miaka na miaka kabla hata ya unga kuwepo duniani.
Watu wanacheza kamali

sisi hiyo ndo michongo inayotuweka mjini hiyo kaka halafu yeye anuletea tantalila za vijiweni
 
Watu wanakurupuka bila scientific evidences
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…