Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Usisahau kumwambia mkulu aje azindue mkuu.

Sijui kitakua kiwanda cha ngapi hicho,wenye takwimu.
 

Kibaha sehemu gani mkuu maana kama mailimoja eneo LA viwanda ni tamko nikija nije nione mkuu nami nipate utajir wa akili.
 
Kibaha sehemu gani mkuu maana kama mailimoja eneo LA viwanda ni tamko nikija nije nione mkuu nami nipate utajir wa akili
Sio maili moja Mkuu kibaha near Mlandizi.karibu ata kesho Mkuu tuyajenge ujionee uhalisia. Kuna viwanda vya wachina pemben kama vitatu.
 
Sio maili moja Mkuu kibaha near Mlandizi. Karibu ata kesho Mkuu tuyajenge ujionee uhalisia. Kuna viwanda vya wachina pembeni kama vitatu
Aah huko ni zegereni mkuu, si unaingilia madafu pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…