Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Kwa nini unataka kupambana na watu walioamua kutumia miili yao binafsi jinsi watakavyo na hawamdhuru mtu yeyote?
 
Biashara ya ukahaba ni biashara kongwe duniani

Manabii wameikuta na wameiacha.

Umesema wanaojiuza ni wenye shida hasa single mamas na hapo hapo umesema hata waliopo serikalini wanajiuza.

Fafanua hapo zaidi
kihuhalisia nimeeleza kwamba asilimia nyingi za watu wanaojiuza ni wenye shida mbalimbali sijaitimisha kwamba sababu ni maisha magumu tu ila sababu kuu inaonekana kuwa iyo
 
Mtoa mada kuna jambo sijaelewa ni wapi na wakati gani imesemekana mwanamke anabidi aishi maisha ya juu kuliko mwanaume in terms of expenditures wise? Tukipata kujua hili ndio tutajua source ya hii biashara.
hakuna ilipoandikwa lakini uhalisia ndo unaotwambia kwamba wanawake maisha yao yapo juu
 
Ni kwel kwa maana kila biashara ina faida na madhara yake ndo maana nkatoa suggestion ya kuhalaloshwa ingawa kidini inakuwa kinyume na maadili
 
Na ndio ingefaa hasa kuwa kodi ya mshikamano, literary. Maana ni tendo la kushikamana kimapenzi
na serikali ingepata mapato mengi kutokana na hii biashara kwa sabab watu wanaoifanya ni wengi sana
 
Kuna mataifa hii biashara hii inatambulika kama vile ilivyo Bangi namenginewee.

Ila kwa utamaduni wetu hatuwezi ruhusu biashara za ma kaka poa.

Au ikiwezekana isiwepo tuu kabisaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
kihuhalisia mambo ya maadili inabidi yapimwe kwa mtu mmoja mmoja hauwezi sema eti sisi watanzania sema mimi mtanzania
 
umeongea kitu kikubwa mkuu nimepata kitu cha kujifunza
 
Pesa nyingi inapotea hii bishara tuangalie vizuri kwenye jicho la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…