Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Wakuu kwela?

Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo?

Mwenye uzoefu amwagike please
 
Back
Top Bottom