B Bongotunacheza JF-Expert Member Joined Dec 7, 2018 Posts 1,821 Reaction score 3,980 Aug 13, 2025 #1 Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
M mtu wa system JF-Expert Member Joined Mar 30, 2025 Posts 375 Reaction score 607 Aug 13, 2025 #2 Yaan unakodisha nguo ya kuvaa doh CCM itatufikisha mbali kweli