Unataka umuingize kwenye forever living na oriflame!Ndugu yangu pole;
Uko sahihi kuumia na kushangaa nchi yetu inaenda wapi hasa kutokana na ukweli kwamba muda unaenda na huoni matumaini yoyote.
Mimi huwa naamini kwamba kila jambo lina sababu na kwamba ukiona mipango yako haiendi kama ulivotarajia usife moyo.Hatua uliyochukua ni nzuri kuleta mkasa wako hapa JF.Kwa umri wako nakushauri unitafute PM nikupe idea flani ili hakikisha una mtazamo chanya.Idea hii haitakuhitaji kutumia hio laki tatu yako lakini inaweza kukupa mwanga wa uelekeo wa maisha yako.
Laki tatu au million tatu maana hapo may be simu ukawa umekosa kumalizia namba moja. !!!Nimesomea food science and technology nipo DSM, mbagala.
Hapana ndugu yangu;nataka nimuingize kwenye biashara halali kabisaunataka umuingize kwenye forever living na oriflame !
Kwann usiiweke hapa mkuu wengi wapate ideasHapana ndugu yangu;nataka nimuingize kwenye biashara halali kabisa
Laki tatu au million tatu maana hapo may be simu ukawa umekosa kumalizia namba moja. !!!
Ni kweli nikiiweka hapa wengi watapa ideas.Ila sio kila Idea ikiwekwa hapa itasaidi mtu.Hata uko PM akija sitampa idea.Nimeshamtafuta kwa simu Tayari na tutaonana,tuzungumze kama akiwa tayari basi atayaona mema ya nchi.Karibu PMkwann usiiweke hapa mkuu wengi wapate ideas
Ni kweli nikiiweka hapa wengi watapa ideas.Ila sio kila Idea ikiwekwa hapa itasaidi mtu.Hata uko PM akija sitampa idea.Nimeshamtafuta kwa simu Tayari na tutaonana,tuzungumze kama akiwa tayari basi atayaona mema ya nchi.Karibu PM
ushauri wangu hebu kaa chini tena tafakari what you can do within you professional,unajenga uwezo ndani ya miaka 3 halafu utoke uende kwenye fani nyingine mimi naona ni waste of resource mimi naamini itakuwa na uwezo mkubwa ndani ya fani yako,buni Anza na kitu kidogo sana uta grow polepole .Nimesomea food science and technology nipo DSM, mbagala.
ushauri wangu hebu kaa chini tena tafakari what you can do within you professional,unajenga uwezo ndani ya miaka 3 halafu utoke uende kwenye fani nyingine mimi naona ni waste of resource mimi naamini itakuwa na uwezo mkubwa ndani ya fani yako,buni Anza na kitu kidogo sana uta grow polepole .
Nchi haiendi, wanaenda watuNdugu yangu pole;