Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Changamoto hii biashara kila kona kuna hayo mabanda hivyo kupata watu 150 ni sehemu chache wanaotengeneza pesa ya uhakika pia inabidi ujue kuna siku nne za jumapili kwa mwezi za kupata gem zakukuingizia pesa za uhakika kuna kodi ya mwenye ardhi ulipo jenga banda lako pia kuna serikali piga hesabu ya faida yako
na serikali ikishajua tra wanakuja mpaka mlangoni kuangalia ni wangapi wameingia, mechi inaisha wanapiga makadirio yao na unawapa chao
 
yaniii ni wazo ila lina hitaji mwaka au miaka kufikiria, maana vyuma vimekaza sana
 
Nimekereka na vitu vikubwa viwili:-
1. Kutojua tofauti ya 'R' na 'L' kumenifanya nishindwe kumalizia kusoma mpaka mwisho.
2. "Kuuza vocha hasa za Halotel maana ndio zina wateja wengi" huyu mtu sijui anakaa wapi/mkoa gani?

PONGEZI
Mtoa mada anaonekana hajapita shule kubwa lakini ukimfutilia utaona anajua kupambana sana na maisha,hata wanaotoka vyuoni na degree zao anaweza kuwaacha mbali kwa ubunifu/udhubutu.
 
Hamna cha vyuma wala nini. Hapo ni AKILI yako tu, UKIIAMINISHA AKILI YAKO KUWA VYUMA VIMEKAZA BASI KWELI VITAKAZA, LKN UKISEMA KUWA NI MAPAMBANO YA KAWAIDA NA KWELI VYUMA HUTAVIONA VIKIKAZA.
 
Mimi pia ni mfanya biashara wa viewing centre huku Mombasa, Kenya. Niliamua kuchukua beIN kwa sababu DSTV imepata competition kutoka kwa Kwese. Kwese ndiyo inayo onyesha EFL. Na ingawa unaweza kuangalia Kwese kwa Muda wa siku 3 for just $4, niliona ni usumbufu! Besides, natumia decoder ya beIN PVR ambayo hurekodi movies halafu natumia kuonyesha watu. Watu huja kutazama ligue 1, serie A na Bundesliga pia - kitu ambacho DSTV hawana
 
eneo pekee na mtaji havitoshi cha msingi pia ni eneo limekaaje? kuna wateja? kuna mabanda mangapi hapo jirani? je yanajaza? au kwa lugha ya ujumla kuna uhitaji wa banda eneo hilo? usije ukaweka ukaangalia wewe na ndugu zako tu.
 
Mimi pia ni mfanya biashara wa viewing centre huku Mombasa, Kenya. Niliamua kuchukua beIN kwa sababu DSTV imepata competition kutoka kwa Kwese. Kwese ndiyo inayo onyesha EFL. Na ingawa unaweza kuangalia Kwese kwa Muda wa siku 3 for just $4, niliona ni usumbufu! Besides, natumia decoder ya beIN PVR ambayo hurekodi movies halafu natumia kuonyesha watu. Watu huja kutazama ligue 1, serie A na Bundesliga pia - kitu ambacho DSTV hawana
Dstv wanaonyesha Serie A channel ya RAI
 
Plan kubwa ni kuweka longterms goals koz kuna saa nahisi kama ukikodisha mahal mwenye eneo au nyumba akiona mpunga unaoingiza... baada ya mkataba kuisha anaeza kukuamisha ata vunga baada ya mda ataliendeleza... sasa apo bora kukomaa kununua kila kitu na kumiliki... kuanzia apo ni kuvuna tu.. na tafta eneo kubwa..
Fact,ilinitokea Mimi.
 
Mimi pia ni mfanya biashara wa viewing centre huku Mombasa, Kenya. Niliamua kuchukua beIN kwa sababu DSTV imepata competition kutoka kwa Kwese. Kwese ndiyo inayo onyesha EFL. Na ingawa unaweza kuangalia Kwese kwa Muda wa siku 3 for just $4, niliona ni usumbufu! Besides, natumia decoder ya beIN PVR ambayo hurekodi movies halafu natumia kuonyesha watu. Watu huja kutazama ligue 1, serie A na Bundesliga pia - kitu ambacho DSTV hawana
beIN inauzwa being gaaanii kwa sasa ???
 
Back
Top Bottom