onazi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 128
- 143
kwa upande wa tv inch ngapi ndo hupendelewa zaidi?ANGALIA IDADI YA TV UNAZOTAKA KUWEKA NA UKUBWA WAKE. TV SIO CHINI YA MBILI
DSTV + EXTRA VIEW
AZAM SET
N.K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa upande wa tv inch ngapi ndo hupendelewa zaidi?ANGALIA IDADI YA TV UNAZOTAKA KUWEKA NA UKUBWA WAKE. TV SIO CHINI YA MBILI
DSTV + EXTRA VIEW
AZAM SET
N.K
Hadi project kukamilika inaeza gharimu kiasi gani?Ķwanza uwe na dstv nakushauri.
Tv nzuri.
Mazingira ya uswahilini yanalipa zaidi
wanapenda kubwa at least 43' sio mbaya! Ambayo ya mtumba sio chini ya laki tanokwa upande wa tv inch ngapi ndo hupendelewa zaidi?
hadi project kukamilika inaeza gharimu kiasi gani?
bando la extra view ni sawa na bando zingine mfano compact plus?-Tv zisiwe chini ya mbili
-Dstv' set + dekoda ya extra view + Bando lao + 27,500 charges ya extra view
-Azam set +Fundi + Bundle
-Viti/Mabenchi
-Gharama ya kujenga ukumbi au kuukodisha
-Jenereta + wiring yake
-Fundi wa welding na nondo za kuchomelea tv ukutani ili isiwe rahisi sana kumtamanisha mwizi.
-Mlinzi wa eneo
kaka vp,wakati wa mchana ulikuwa unatumia projector au tv!Npo katika mchakato wa kumalizia Malipo ya Eneo jingine, nianze tenaa
mkuu,nipe uzoefu wa kutumia projector wkt wa mechi za mchana.Ni biashara inayolipa sana na sana ila make sure unasimamia wewe mwenyewe na si kumpa rafiki au ndugu. Unatakiwa uwe na vyote Azam for VPL na DSTV na Projector ili iwe rahisi kwa watazamaji kuona + viti vya mbao au mabenchi then umemaliza
mechi nyingi ni jioni mkuuninaweza kutumia projector wkt wa mchana?
ninaweza kutumia projector wkt wa mchana?
Inawezekana ila itabidi mazingira yawe ya giza mkuu
Binafsi sina projector ila mimi ni mwanafunzi wa chuo hapa UDOM tunasomea projector mchana kabisa na inadisplay vizuri sana hata ukiwa back bencher .... lakini pia nilikuwa naangalia mechi za saa nane mpaka ikaja saa kumi na moja za WORLD CUPmkuu...wewe unatumia projector aina gan? nipe model yake?
abda nifatilie hizi projecor za class ni aina ganimkuu...wewe unatumia projector aina gan? nipe model yake?