Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

na serikali ikishajua tra wanakuja mpaka mlangoni kuangalia ni wangapi wameingia, mechi inaisha wanapiga makadirio yao na unawapa chao
 
Akili zitatukaa sawa tu.Mkulu amesema asiyefanya kazi na asile,asiyekula na afe.
 
yaniii ni wazo ila lina hitaji mwaka au miaka kufikiria, maana vyuma vimekaza sana
 
Nimekereka na vitu vikubwa viwili:-
1. Kutojua tofauti ya 'R' na 'L' kumenifanya nishindwe kumalizia kusoma mpaka mwisho.
2. "Kuuza vocha hasa za Halotel maana ndio zina wateja wengi" huyu mtu sijui anakaa wapi/mkoa gani?

PONGEZI
Mtoa mada anaonekana hajapita shule kubwa lakini ukimfutilia utaona anajua kupambana sana na maisha,hata wanaotoka vyuoni na degree zao anaweza kuwaacha mbali kwa ubunifu/udhubutu.
 
Hamna cha vyuma wala nini. Hapo ni AKILI yako tu, UKIIAMINISHA AKILI YAKO KUWA VYUMA VIMEKAZA BASI KWELI VITAKAZA, LKN UKISEMA KUWA NI MAPAMBANO YA KAWAIDA NA KWELI VYUMA HUTAVIONA VIKIKAZA.
 
Mimi pia ni mfanya biashara wa viewing centre huku Mombasa, Kenya. Niliamua kuchukua beIN kwa sababu DSTV imepata competition kutoka kwa Kwese. Kwese ndiyo inayo onyesha EFL. Na ingawa unaweza kuangalia Kwese kwa Muda wa siku 3 for just $4, niliona ni usumbufu! Besides, natumia decoder ya beIN PVR ambayo hurekodi movies halafu natumia kuonyesha watu. Watu huja kutazama ligue 1, serie A na Bundesliga pia - kitu ambacho DSTV hawana
 
eneo pekee na mtaji havitoshi cha msingi pia ni eneo limekaaje? kuna wateja? kuna mabanda mangapi hapo jirani? je yanajaza? au kwa lugha ya ujumla kuna uhitaji wa banda eneo hilo? usije ukaweka ukaangalia wewe na ndugu zako tu.
 
Dstv wanaonyesha Serie A channel ya RAI
 
Fact,ilinitokea Mimi.
 
beIN inauzwa being gaaanii kwa sasa ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…