Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Chukua mchanganuo huu hapa Gharama ya ujenzi banda milioni 3 pamoja na mabenchi flatscreen kuanzia mbili za nchi 43 moja sh laki 6 dstv vinga'muzi viwili laki na 60 na package yake inadepend azamu ving'amuzi viwili laki 3 na package yake 36 startimes ya dish ving'amuzi 2 sh laki na 60 generator sh 400,000/= mafeni ya mtumba sh 40,000/= 1* chukua kuanzia 3 Mimi ndo biashara yangu since 2014 mpaka leo na ni biashara ambayo haina ushindani na inalipa kinyama kama utakuwa mvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo zinazoweza kupambana na sun light ata mchana zinaonesha vzr ila ni expensive mno ni km million 5 adi 10
Mkuu Efendi nilipanga kufanya hii biashara mapema kabla ya kurudi kutoka kwenye hii likizo ya corona, tatizo likawa mtaji ulipungua kutokana na matumizi flani flani ya kipindi kile.Chukua mchanganuo huu hapa Gharama ya ujenzi banda milioni 3 pamoja na mabenchi flatscreen kuanzia mbili za nchi 43 moja sh laki 6 dstv vinga'muzi viwili laki na 60 na package yake inadepend azamu ving'amuzi viwili laki 3 na package yake 36 startimes ya dish ving'amuzi 2 sh laki na 60 generator sh 400,000/= mafeni ya mtumba sh 40,000/= 1* chukua kuanzia 3 Mimi ndo biashara yangu since 2014 mpaka leo na ni biashara ambayo haina ushindani na inalipa kinyama kama utakuwa mvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka uione hela kwenye biashara hii kaba mwenyeweMkuu Efendi nilipanga kufanya hii biashara mapema kabla ya kurudi kutoka kwenye hii likizo ya corona, tatizo likawa mtaji ulipungua kutokana na matumizi flani flani ya kipindi kile.
Naona baada ya kurudi kipindi hiki hii biashara imetoa sana. Kwa wiki unaonyesha game 2 hadi 3. Nikaja kusikia baadae kuwa ving'amuzi vya DsTV vimepandishwa bei.
Hata hivyo, hii biashara bado ipo kwenye mipango yangu.
Halafu pia nafikiria kumuweka mtu awe anapiga kazi kwa sababu mimi nina mishe nyingine za kufanya..
Hii imekaaje, biashara itatoa kweli?
Bussines family aliianzisha mzee mimi nikawa naisimamia now iko vizuriMhudumu ni we mwnywe au umeajiri kijna
DuhKama unataka uione hela kwenye biashara hii kaba mwenyewe
Na game unalipisha shs ngap ? 500 au 1000 kwa kila mechi nipe details kidogo nampango wa kuanzisha na mie hii niashara npo MORORGORO maana wadau wengine utakuta daa wanataka 500 na sio 1000 kiingilio tabu kwel kwelBussines family aliianzisha mzee mimi nikawa naisimamia now iko vizuri
Na mimi HD inanikoshaga kwa kweli ila siti ya nyuma hamna nakaa siti ya pili kutoka mbelesijui kwa wenzangu ila mi binafsi napenda sana uhalisia wa picha yaani nikiambiwa HD basi iwe HD kweli na naamini inapatikana kwenye TV tu mimi projekta sijawahi kuzielewa kabisa,mtaani ninapoishi kuna banda la mpira lakini siangaliagi wanatumia projekta naendaga mtaa wa tano sababu kuna banda kubwa pia tv inch 55 full HD, siti yangu ya nyuma kabisa lakini naona mpk upele
Projector ina resolution za namna mbili, native resolution na ile resolution ya kuproject.sijui kwa wenzangu ila mi binafsi napenda sana uhalisia wa picha yaani nikiambiwa HD basi iwe HD kweli na naamini inapatikana kwenye TV tu mimi projekta sijawahi kuzielewa kabisa,mtaani ninapoishi kuna banda la mpira lakini siangaliagi wanatumia projekta naendaga mtaa wa tano sababu kuna banda kubwa pia tv inch 55 full HD, siti yangu ya nyuma kabisa lakini naona mpk upele