Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Mhudumu ni we mwnywe au umeajiri kijna
Chukua mchanganuo huu hapa Gharama ya ujenzi banda milioni 3 pamoja na mabenchi flatscreen kuanzia mbili za nchi 43 moja sh laki 6 dstv vinga'muzi viwili laki na 60 na package yake inadepend azamu ving'amuzi viwili laki 3 na package yake 36 startimes ya dish ving'amuzi 2 sh laki na 60 generator sh 400,000/= mafeni ya mtumba sh 40,000/= 1* chukua kuanzia 3 Mimi ndo biashara yangu since 2014 mpaka leo na ni biashara ambayo haina ushindani na inalipa kinyama kama utakuwa mvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Efendi nilipanga kufanya hii biashara mapema kabla ya kurudi kutoka kwenye hii likizo ya corona, tatizo likawa mtaji ulipungua kutokana na matumizi flani flani ya kipindi kile.

Naona baada ya kurudi kipindi hiki hii biashara imetoa sana. Kwa wiki unaonyesha game 2 hadi 3. Nikaja kusikia baadae kuwa ving'amuzi vya DsTV vimepandishwa bei.

Hata hivyo, hii biashara bado ipo kwenye mipango yangu.
Halafu pia nafikiria kumuweka mtu awe anapiga kazi kwa sababu mimi nina mishe nyingine za kufanya..

Hii imekaaje, biashara itatoa kweli?
 
Kama unataka uione hela kwenye biashara hii kaba mwenyewe
 
Bussines family aliianzisha mzee mimi nikawa naisimamia now iko vizuri
Na game unalipisha shs ngap ? 500 au 1000 kwa kila mechi nipe details kidogo nampango wa kuanzisha na mie hii niashara npo MORORGORO maana wadau wengine utakuta daa wanataka 500 na sio 1000 kiingilio tabu kwel kwel
 
Wakuu habari za muda.

Bila kupoteza muda twendeni kwenye mada husika.

Nimefungua ukumbi wa kuonesha mpira jijini mwanza tena ni banda LA kisasa kabisa kuna projekta tatu na za kisasa ,feni pia na kadharika,swala nikupeana ushauri juu ya biashara hii na kupeana idea jinsi ya kuboresha na kuvuta wateja kwa wingi.

Karibuni wadau haijarishi kama wewe in mmiliki wa ukumbi au wewe ua unatazama mpira kwenye banda umiza, tunaomba ushauri wako.

Ahsanten kwa muda wenu.
 
sijui kwa wenzangu ila mi binafsi napenda sana uhalisia wa picha yaani nikiambiwa HD basi iwe HD kweli na naamini inapatikana kwenye TV tu mimi projekta sijawahi kuzielewa kabisa,mtaani ninapoishi kuna banda la mpira lakini siangaliagi wanatumia projekta naendaga mtaa wa tano sababu kuna banda kubwa pia tv inch 55 full HD, siti yangu ya nyuma kabisa lakini naona mpk upele
 
Baadh ya mechi uwe unatoa ofa pia baadae jitahid ununue tv kubwa inch 55 au 65 projector hazina Hd Ndugu na karne hii ni mwendo wa HD .

Sema mwanzo mzur sana pia hakikisha jenereta lipo Tena kubwa la uhakika .

Kama una mdogo wako hana kaz maambie aanze kukaanga karanga zinauzwa ndani ya ukumbi mixer soda na maji mtapiga sana pesa.
Na ukianzisha karanga na vinywaj usiruhusu mtu aingie ndani ya ukumbi na hiyo biashara maana atakuharibien mchongo .
 
sijui kwa wenzangu ila mi binafsi napenda sana uhalisia wa picha yaani nikiambiwa HD basi iwe HD kweli na naamini inapatikana kwenye TV tu mimi projekta sijawahi kuzielewa kabisa,mtaani ninapoishi kuna banda la mpira lakini siangaliagi wanatumia projekta naendaga mtaa wa tano sababu kuna banda kubwa pia tv inch 55 full HD, siti yangu ya nyuma kabisa lakini naona mpk upele
Na mimi HD inanikoshaga kwa kweli ila siti ya nyuma hamna nakaa siti ya pili kutoka mbele
 
sijui kwa wenzangu ila mi binafsi napenda sana uhalisia wa picha yaani nikiambiwa HD basi iwe HD kweli na naamini inapatikana kwenye TV tu mimi projekta sijawahi kuzielewa kabisa,mtaani ninapoishi kuna banda la mpira lakini siangaliagi wanatumia projekta naendaga mtaa wa tano sababu kuna banda kubwa pia tv inch 55 full HD, siti yangu ya nyuma kabisa lakini naona mpk upele
Projector ina resolution za namna mbili, native resolution na ile resolution ya kuproject.

Kama umewahi kwenda ukumbi wa cinema ule ni mfano wa projector nzuri, quality yake ni kubwa sana mpaka unasahau wazo la kua ile ni projector.

Wewe unaona mbaya hizo projector sababu native resolution ni ndogo nyingi ni 240p mpaka 480p, ila ukipata projector yenye native resolution ya Hd ama Full HD Quality inakuwa kubwa sana.

SEma na bei pia inakuwa ndefu 1m+
 
Pia jitahidi kupiga marufuku kuvuta sigara. NO SMOKING. Utapiga hela sana
 
Back
Top Bottom