Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Huyo jamaa ni tapeli tu, jiingize kichwa kichwa upigwe. Kuna uzi upo humu humu watu wametahadharishwa kumuepuka huyo mtu.
Duuuh! Kuna mtu kapigwa? au ni hadithi kiufupi niliongea nae ingawa bado sijawa inerested sana na huko maana najua vya bure it cost.
 
Huyo jamaa anayeweka Chanel za mpira,alileta Uzi hapa,wachangiaji walimshukia kwamba Ni taperi na haiwekani..akashindwa kutoa maelezo akakimbia Uzi wake.
Duuh! Lakini wapo waliowekewa? tena anadai hata Star Times ya ndani anakuwekea pia.
 
Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?

Misimu ya ligi za soka ndio inaendelea

Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Champion,Super Cup na Olympic

Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk

Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi

Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch

Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi

Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi

Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli

Mawasiliano(Call or text/whatsapp)
-0686811173
-0764453848
 
Kuna chanel za nyumbani ngapi zinazokuwa zinaonekana pamoja na hizo za michezo
 
Kuna chanel za nyumbani ngapi zinazokuwa zinaonekana pamoja na hizo za michezo
Hapo utapata za nyumbani 4 ila kama upo Dar tutaongeza mfumo wa terestrial ili kupata local channels nyingi zaidi.
 
Gharama kiasi gani? Dstv wakichange frequency zao bado zitaendelea kuonelana?..Hapa Dar upo wapi?,Ili Kama imebuma nijue wapi kwa kukupata.
 
Gharama kiasi gani? Dstv wakichange frequency zao bado zitaendelea kuonelana?..Hapa Dar upo wapi?,Ili Kama imebuma nijue wapi kwa kukupata.
Gharama ya ufundi na vifaa nitakufanyia 410k,maongezi yapo. Napatikana maeneo ya Banana.
 
Wapo nadhani hata ukiingia kupatana au hata humu kuna baadhi ya matangazo yao shida inadumu kwa muda gani?
Mbona me walitapeli hadi leo sina hamu. na ni wengi tu wametapeliwa.
 
Kwa kuwasaidia tu ni kwamba uwezekano wa tv mbili kuonyesha kwa kutumia kifurushi kimoja inawezekana , sema utahitaji decoder nyingine na dish jingine au kama utapata lnb yenye tundu mbili fresh, hio kitu inaitwa extra view , ipo dstv na inatambulika , na kuwekewa ni bure kabisa ,tusiendekeza wizi jamani dstv wenyew kila siku usiku wanaupgrade software za decoder zao kwahio wizi haudumu, msijisumbue , na huyo anaewaambia hapo sijui atawawekea kwa 410k kuweni nae macho, hio 410k unaweza kupata decoder na ukaweka compact + miezi mitatu, tusipende mteremko hakuna pesa rahisi.
 
Asante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…