Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

boss

hongera ....vp unanishaurije mtu anayeanza kuhusu namna bora ya management vifaa na wateja
mwanzo unakuwaga mgumu
namshauri anaeanza atafute sehemu yenye vijana vijana kwa maAna ya location
pia ili kuvuta wateja kirahisi,unatafuta ile mashine ya kubetisha vijana watajaa maana watabet na kutazama mpira hapo hapo
pia unaatakiwa uonyeshe kwa jero tu ndio utapata hela ulifanya buku huyopata wateja
 
Boresheni mabanda yenu na wanawake waingie,wanawake wakiingia tu mtapata nyomi zaidi
Na kwa kuongezea hapo hapo mkuu kwa siku 30 za mwanzo wa kutafuta za wateja atafute wadada kama watano.....
Kama ana uwezo. Hao itakua ndo watamvutia wateja na iwe wanafahamiana makubaliano ya malipo baada ya kupatikana wateja.
 
hahahhahhh asante ase hii lazma niapply mkuu........ buku tanoatno mbona ntawpata
 
Wakuu salama?

Nipo kijj flan HV...Geita.
Hapa hakuna sehemu ya kuangalia mpira tofauti na kwa mwal mmoja ambaye ameweka nyumbani lakn ana azam na TV ndogo lakn jamaa wanaenda kuangalia.

Nimeona nijaribu kutumia hii fursa ili nidake na kombe la Dunia litakapo anza.

Kwa uzoefu wenu azam ina mechi zote hasa za nje? Au niangalie dstv?

Dstv bei gan installation na malipo kwa mwezi?

Umeme nitatumia sola au jenereta.

Makadirio ya Wateja ni 50/mechi na kama patakuwa pazuri inawwza kuzidi.

Naomba michango ya mawazo wakuu.
 
Azam wataonesha Kombe la dunia kupitia channel yao moja tu ZBC2....

Ukiweza nunua dikoda zote mbili Azam na Dstv..
 
Duuuuu hakuna wauzaji Wa dstv huku? Au watumiaji?
 
Tafuta receiver ya canal inauzwa kati ya 170-230K kutegemea na sehemu..then kila mwezi unalipia elfu 40 tu,unapata kuona mechi zote za ligi zote na kuna channel 100+.
IMG-20180212-WA0033.jpg
 
50 x 500=25000
maana yake kwa mwez mzima utaingiza zaidi ya 750000
Ni pesa nzuri,komaa mwana
 
Wakuu salama?

Nipo kijj flan HV...Geita.
Hapa hakuna sehemu ya kuangalia mpira tofauti na kwa mwal mmoja ambaye ameweka nyumbani lakn ana azam na TV ndogo lakn jamaa wanaenda kuangalia.

Nimeona nijaribu kutumia hii fursa ili nidake na kombe la Dunia litakapo anza.

Kwa uzoefu wenu azam ina mechi zote hasa za nje? Au niangalie dstv?

Dstv bei gan installation na malipo kwa mwezi?

Umeme nitatumia sola au jenereta.

Makadirio ya Wateja ni 50/mechi na kama patakuwa pazuri inawwza kuzidi.

Naomba michango ya mawazo wakuu.
Kila la kheri aisee mangi
 
dstv 130,000 kila kitu hadi installation... na mwez mmoja bure
 
dstv ndo mpango mzima, maana azam hawana rights za kuonyesha premier league wala bundesliga wala serie A... wao ni la liga tu
 
Back
Top Bottom