marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
sawa kakaabda nifatilie hizi projecor za class ni aina gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kakaabda nifatilie hizi projecor za class ni aina gani
Naona hutaelewa nilichomaanisha, naumenidhihaki kaa na kiburi chako."Biashara ya utumbo" haya nitacheki
Tuwekee mapato na matumizi.Biashara nzuri kwanza unatakiwa uwe na banda kubwa lenye hewa pia ufunge mafeni (mapangaboi) pia mabenchi ya kutosha kwa mbele unaweza utandika maturubai tv unatakiwa uwe nazo kuanzia mbili mimi ninazo inch 43 na vinga'muzi unatakiwa uwe navyo kuanzia vinne vya dstv viwili utamtafuta fundi atakuungia mfumo wa extra view yaani utaonesha mechi mbili kwa wakati mmoja pia unatakiwa uwe na kinga'muzi cha startimes kwa ajili ya mechi za uefa ndogo na cha azam kwa ajili ya mechi za ligi kuu tanzania bara na mechi nyingine mbalimbali
Natumia optoma na epson kazini iko poa kinoma.mkuu...wewe unatumia projector aina gan? nipe model yake?
Mabenchi yanaumiza Aisee. Anunue tu viti vya plastic vile ile wateja wake tuwe comfortable.Uchambuzi mzuri mkuu umesahau mabench pamoja na viti... generator pia
Kweli kabsa, ntajitahidi kufanya hivo kaka japo mwanzo mgumuKila la heri mkuu. Ila usisahau kuweka vinywaji na kitimoto Mkuu.
Asante mkuu kwa kunikumbusha Generator nitalifanyia kazi kuhusu hilo. Generator ni ya muhimu sana hasa kuwepo na umeme wa uhakika zaidi, na kujenga uaminifu kwa wateja wako[emoji120].Uchambuzi mzuri mkuu umesahau mabench pamoja na viti... generator pia