Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina majotroNdio tunavogawana shilingi yetu.Tutakomaa kama nyie wakulima hamtauza bei za tamaa kubwa,ukishapanga bei za gunia utuguze
Asante kwa mshindonyuma! Fanya kazi usitishiwe, hakuna kazi isiyokuwa na kadhia!.
Aksante. kwa hiyo hicho kibali cha kuuza mkaa wilayani mwako tunachukulia kwenye ofisi za manispaa mfano temeke pale uwanja wa mpira wa taifa au ofisi za maliasili wilaya?(mimi natarajia kufungua wilaya ya temeke)
ni pm ndugu nitakuelekeza vzr2, maana naona watu wanakukatisha moyo mm ndio biashara yangu
ndugu tafuta sh@40,000 kwa gunia la kg100 nikuletee mpk nyumbani kwako(jumla)
Habarini?
Ninaomba kuifaham hii biashara nina mpango wa kufungua stoo ya mkaa nimuweke mtu aniuzie kwa jumla na rejareja.
Naomba kufahamishwa kwa mwenye ujuzi na hili itanigharimu shilingi ngapi hadi kufanikisha hili?
Na je zipi changamoto kubwa nitakazo kabiliana nazo?
Nawasilisha.
Asanteni.
Mkuu hebu ni pm picha ya hilo gunia likiwalimesimama nilione tunaweza fanya biashara hapa.
kaka bahati mbaya nimemaliza ila nipo katika maandalizi ya kuleta mzingo ukifika nitakujulisha wala ucjali
sawa mkuu huwa unauzia wapi?
ndugu tafuta sh@40,000 kwa gunia la kg100 nikuletee mpk nyumbani kwako(jumla)
TARATIBU ZA VIBALI KWA MAZAO YA MISITU-MKAA.
1,Hati ya usajili ambayo ni 261000 kwa mwaka hutolewa na ofisi ya misitu wilaya ambayo utafanyia biashara.
2,Hati ya kusafirisha mkaa ni 6500 kwa fuso na 13000 kwa semi ,hii ni kwa kila safari hii hutolewa kula unapochukulia mkaa(shambani).
3,Leseni ya kuvuna mkaa/ushuru wa serikali kuu ambayo ni 8700 kwa gunia la kawaida na 14700 kwa gunia lumbesa,hii ni sawa na 160 kwa kilo 1
4,Ushuru wa serikali ya mtaa ni kati ya 1000 hadi 2000 kwa gunia
5,Leseni ya biashara na tin
6,Uwe na daftari la mauzo kwa ajili ya ukaguzi ukitokea
7,Mwisho wa kusafirisha mkaa ni sa 12 jioni
NAWAKILISHA
mkuu saizi gani ya gunia wanauza be hiyo??Huku tabora vijijini mkaa hadi elfu nne(4000) gunia tena mkaa mzuri,
Ndio tunavogawana shilingi yetu.Tutakomaa kama nyie wakulima hamtauza bei za tamaa kubwa,ukishapanga bei za gunia utuguze