DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
50/50 ndiyo kizazi cha hovyo kinachokuja mbeleni na serikali ijipange mana kitakuwa ni kizazi ambacho hakina uwoga
 
Ahaaa dede kulya Kirima Wamushi nyiwo wafye
Lakini alimuuzia mbacho mkuu huyo mushi nasikia yupo dar, sijajua kwa nini wenyeji pale town wamelala mpaka fursa zote tumezichukua.

katika wachagga tuliokuwa inferior ni sisi lakini nowdays tuko juu sana 😁😁😁 wamachame hawatuambia kitu tena
 
Mmassy ukoo wangu huo. Kule Dodoma kuna sehemu inaitwa Kwa Sango, kuna Kidia Visition Hotel, Mkomilo nk
 
Kuna Mushi mmoja anajenga ghorofa kubwa pale Sinza Mugabe DSM. Kikundi chao ukitaka kuingia sharti uwe na milioni 50 kwanza
 
Hapo kuna bar,nilikuwa na kimeo changu nilifika Jpili ,siku hiyo hiyo Christian Bella alikuwa anapiga shoo,aisee humo nilikutana na wanawake ni wana matako balaa. Hizi kazi za kusafiri ni kuomba Mungu, vishawishi ni vingi.
 
Asnt kwa kutupatia location nikija Singida nitawatafuta niwaungishe
 
Condom zinawapa watu Ujasiri na jeuri..
Bahati mbaya ikipasuka sasa mtu anakua mdogo na mpole kuliko kidonge cha piritoni...
 
Ndo ccmu ya ss hiyo , watakwambia sasa wafanyaje?
 
Bunge linafanya kazi gani kwenye swala la sheria maana siku hizi wanasema wao ndo wanatupa maoni ili watufunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…