DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Utakuwa umesimuliwa labda,ule mtaa hauna nyumba za makazi una ma_guest na ma_bar tuu nimepita jana.
muda wa kupita unatofautiana ila Singida mjini hakuna sehem iliyojaa bar na guest tu lzm ziwepo nyumba mbili tatu so ni wajibu wa serikali watafute au wawape mazingira sahihi ya umalaya wao either ndan ya mabar au ndani ya majengo sio kuzagaa barabarani ni htr kwa vijana wa kesho
 
Singida matajiri wote ni wachaga
 
Wamachame sio level zenu
 
Sio Singida peke yake ni nchi nzima sidhani kama kuna mkoa hakuna hizo sehemu wanawake wanajiuza.Kwa hili wanawake huwa nawadharau sana,kutwa wako kwenye majukwaa kukemea kudai haki zao,lakini hili la kujiuza sijawahi kuwaona jinsi gani wanapambana kulitokomeza,hii ni moja ya mambo yanayowadhalilisha sana wanawake....
 
...Miaka 10 na 20 ijayo Mkuu ?? SEMA Mitano ijayo. Inasikitisha...! [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…