DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna kahaba mmoja niliwahi kumshuhudia maeneo ya Kinondaoni makaburini akimchomolea mteja kabla hajamwaga. Kumbe huwa wanafanya ushenzy huo ukiwa umelipa dau dogo? Wapuuzi sana hawa makahaba aisee.

Kwanza mteja anayeenda kununua nyapu anakuwa na kiu ya kutosha huwa hakawii kumwaga. Kwanini sasa wanawakatili wateja wao kiasi hicho?

Wajifunze customer care kama wafanyavyo makahaba wa Nairobi; wapo smart sana na wako makini kwenye upande wa customer care.
 
Aisee ukisikia devil possesed n speaking in a man ndio hii
 
Hii ni biashara pendwa toka enzi na enzi ipo.

Kuna wapelelezi wa Israel ktk biblia Mungu aliwaponya kwa kuwahifadhi kwa malaya.

Naye Malaya alipata kupona kuuawa kwa kazi hii.

Nashauri wapangiwe utaratibu wa kuendesha biashara kisasa bila kubughudhiwa.

Ukiwaona hao ujue wanunuaji ni wanaume na inasaidia hasa pale unaponyimwa nyumbani unakwenda kupoza machungu.
 
Ila kuna mambo unaweza kuyaepuka, kama kugonga malaya ni kutafuta UKIMWI kwa lazima
Mkuu malaya wapo makini sana kwenye matumizi ya kondomu. Sasa huo UKIMWI watakuambukizaje au wataambukizwaje na wateja? Malaya wa mtaani ndio tatizo maana kila mtu anajigongea kavu bila kuogopa. Kwanza mtu akienda kwa malaya anakuwa na kiu ya ajabu....dakika 0 tu umefika Kibo. Utapata UKIMWI saa ngapi? Acha kuwatisha raia wakakate kiu kwa malaya. Unataka watu wabake? Acha hizo mkuu.
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sanaaaaa!
 
Kisheria mwanaume anaweza kubakwa.... ila kisayansi mwanaume hawezi kubakwa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini wanawake wa singida
Utulivu huwa sifuri....
Maana utakuta 60% ya malay wanawake ni kutoka sing singda, kondoa nk

Ova
This might be overrated au kweli pia. The fact is huwa wapo inferior na kutokana na kutokea familia duni na ushamba wao basi wanatumikishwa kingono... na wanapewa kazi za maids wengi ambazo they are nearly to be risk.
Ila sio kweli kwamba kabila zingine sio malaya.
 
Kibosho Mango. Mimi nimewahi kufanya kazi kwa fulan pale kwa Sango, Bahi Road na Area C enzi za marehemu Mselia aliyejipiga risasi baada ya Magu kupiga marufuku viroba orijino.

Mselia alikuwa na shehena ya bolion 2+
Asee bilioni 2+
 

Mkuu ulipewa dakika mbili nn [emoji74][emoji74]mbona unalalamika ivooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…