Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
umeona mbali, uko sahihi. Akili ya mtu mweusi Ina walakiniKama ni hivi sgr haitakamilika
Uliza Watu Wa Mwanza SGR Mkandarasi Hayupo Site Muda SanaKama ni hivi sgr haitakamilika
Ungetoa sababu mkuu.Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii.
Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika.
Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu wa kawaida japo asilimia kubwa zina nyuma ya watu ambao niliosema kama kichwa cha habari na wengine ni wazi.
Sisi tuendelee na Hiace,Tata na bajaji maana ndio vyeo vyetu tumewekewa hapo.
Inapendeza ufanye na kufahamu vizuri sana hapa JF.Ni bingwa wa kila kitu hapa JF sijui kama hata shamba la nyanya unafanya.Ungetoa sababu mkuu.
Maana Yutong inabebeba abiria 70.
Bei ya Dar - Arusha ni Tsh 50,000/=
Means kwa Route moja unakunja 3.5m
Ukitoa Gharama za mafuta ambayo ni 700k.
Posho ya Dereva wawili na Utingo 80k x 2 na Konda(dada) na Konda(Fundi) =100,000/= 260,000/=
Kwahiyo hapo kila Tripu unakunja faida 2.5m
Sasa kwanini ufeli mkuu? Ebu toa maelezo.
Tusubiri kunyooshewa bastora za toyi. Na kama zikikupata upelelezi unaendelea inawezekana ulipigwa na na mawe ya wananchi.Kwa hiyo tusio na nyazifa hizo tufanye nini?
Ungefanya analyis ,kwanini mtu wa kawaida afeli ila waziri na mbunge aweze? Kuna nini? Marangu Express ,BM zinaendeshwa na Mbunge?Inapendeza ufanye na kufahamu vizuri sana hapa JF.Ni bingwa wa kila kitu hapa JF sijui kama hata shamba la nyanya unafanya.
Ma ta ko yao yani wanatuona sisi hatujui toy ni zipi na mguu wa kuku ni upiTusubiri kunyooshewa bastora za toyi.
Ndo kama sio mbunge au waziri.Hii biashara ya bus sio yetu.Ma ta ko yao yani wanatuona sisi hatujui toy ni zipi na mguu wa kuku ni upi
Uvumilivu una kikomoNdo kama sio mbunge au waziri.Hii biashara ya bus sio yetu.
We na yule mwenye boda boda anaulizwa anasema kila boda inaleta elfu 80 kwa siku.We ungekubari au ni wale chawa diplomatic wanao muogopa dudu baya linda mgongo wako.Biashara ya mabasi faida utaanza kuona baada ya miaka miwili.
Na wafanya biashara wengi wa hio biashara wanachukua mikopo kwenye banks...
Basi linajaza Kila siku? umeweka Hela ya service? umeweka Hela ya kupigwa na makondakta? umeweka balance ya wanaoshukia njiani? Mgawo wa wakata ticket umeweka?Ungetoa sababu mkuu.
Maana Yutong inabebeba abiria 70.
Bei ya Dar - Arusha ni Tsh 50,000/=
Means kwa Route moja unakunja 3.5m
Ukitoa Gharama za mafuta ambayo ni 700k.
Posho ya Dereva wawili na Utingo 80k x 2 na Konda(dada) na Konda(Fundi) =100,000/= 260,000/=
Kwahiyo hapo kila Tripu unakunja faida 2.5m
Sasa kwanini ufeli mkuu? Ebu toa maelezo.
Ndiyo maana ya mjadala mkuu.Basi linajaza Kila siku, umeweka Hela ya service, umeweka Hela ya kupigwa na makondakta, umeweka balance ya wanaoshukia njiani?