Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

Kila biashara Ina changamoto zake kabla ya kuifanya inabidi uichunguze kwanza na uwe karibu na wazoefu, japo napingana na mkuu kuwa lazima uwe kiongozi.
Ni kweli biashara si ya kila mtu ,mimi nachojua kila mtu amepewa karama yake! Wote tunaweza tukapewa mtaji sawa na biashara sawa lakini mmoja akafanikiwa na mwingine akafeli.

Vunjabei anaendelea na biashara zake ila Hussein Pamba Kali ameangukia PUA.
 
We na yule mwenye boda boda anaulizwa anasema kila boda inaleta elfu 80 kwa siku.We ungekubari au ni wale chawa diplomatic wanao muogopa dudu baya linda mgongo wako.
Sijakuelewa...
Nimezungumza nachokifahamu..
Huwezi linganisha biashara ya boda na mabasi...
 
Uliza Watu Wa Mwanza SGR Mkandarasi Hayupo Site Muda Sana
Juzi Gvt imepiga kampeni sana sana kuwa Ujenzi unaendelea hiyo LoT wakaenda hadi akina Farhan Kihamu kutupa Update ya mradi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…