Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher uende umekamilika ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha, mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!Amin, natamani kukufata Pm ila naona kunabonge la SOLEX.
Nayo nzuri Sana hii
Hapa mtaji wa unaweza kuwa ngapi yaani kumiliki crusher na mwalo..?Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Isipungue 13mHapa mtaji wa unaweza kuwa ngapi yaani kumiliki crusher na mwalo..?
Ungekua na picha mkuu tuwekee make wengine hawajawahi ona crusher yenyewe na mwalo ahsante sanaIsipungue 13m
Mengi mno huko geita ndo yanatengenezwa 4m..lenye mfuko mmoja..8m lenye mifuko 2! Zuri ni Hilo kubwa...unafanya kazi double fast
Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Nimekosa kwa gallery yangu, mwalo ni sehem unayofanyia process zote. Kuanzia kununua mawe..had kutoa dhahabu.Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetengeneza kifusi kizuri faida hukosi 5-7m! Inategemea Sasa na ukubwa wa kifusi ..approx 3mths...Ila km una speed ni 2 mths..km una kalasha 2 ni 30 days to 45 days!Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambaniKama umetengeneza kifusi kizuri faida hukosi 5-7m! Inategemea Sasa na ukubwa wa kifusi ..approx 3mths...Ila km una speed ni 2 mths..km una kalasha 2 ni 30 days to 45 days!
Hela ya dhahabu tamu mno! Ukiingia huko kutoka huwa with[emoji119]!
Nina mwezi 1 buhemba huku Musoma hii kazi inalipa kabisa ukiamua mi nna jamaa'angu kanambia nunua dhahabu kitu ilokamika (ukota) taratibu ukishayaelewa mazingira kalasha lile pale na mwalo upo fanya kazi mtaji sina. mjini hamna kitu naenda kwa wiki mara 1Mjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini kugumu..ukifumba macho ukakaa mwaka na nusu..ukawa smart usifuje hela unaondoka na mtaji mzuri..Ila sijui y ngumu sn kuquit mazima..niliambiwaga ukishika hela ya dhahabu ya kwanza tu ngumu Sana kuchomoka...Kuna ukwel...nadhan coz ni hela ndefu ndefu..karibuni..Ila msiende kichwa kichwa...! Usishikwe na mtu yyt akakupa deals. .utapigwa had uchakae..kuwa kauzu soma kwanza mchezo even 3mthsMjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna matajiri wametajirikia hapo..lakini nadhan itamake sense mgodi ukiwa mpya...maana naskia ukiwa na vilipuzi wewe ni Don tu tayariWangari Maathai mkuu vipi uhitaji wa compressors, madawa na vifaa kazi vya uchimbaji huko migodini? Inaweza kuwa investment nzuri Kama unajua sekta hiyo?
Hivi sister zile mashine za kusaga mawe yawe madogo [Si makalasha yakutoa unga] huwa ni bei gani na sijaona mnazizungumzia kabisa hapa.Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Sina hakika na Bei mkuu...! Lakini nadhan haizid 5m!Hivi sister zile mashine za kusaga mawe yawe madogo [Si makalasha yakutoa unga] huwa ni bei gani na sijaona mnazizungumzia kabisa hapa.
Kuna matajiri wametajirikia hapo..lakini nadhan itamake sense mgodi ukiwa mpya...maana naskia ukiwa na vilipuzi wewe ni Don tu tayari
Sina hakika Sana naonaga hizo ishu ziko huko tayariNaongelea kuuzia wachimbaji wadogo wengine ila sio mimi kuwa mchimbaji.
Dhahabu siku hizi unauza na kumunua kama mkate dukani.Kila Mkoa kuna soko la madini hakuna siri za chini chini kama usajiri wa Yanga.Na kamma unataka kuwa Blocker aau dealer mkubwa nenda kwenye mtandao wa wizara miongozo yote ipo wazi au ulitaka wewe ndio utuingize king sisi.Mwaka huu mtakpma ja haWadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadha za king chukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara