Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Amin, natamani kukufata Pm ila naona kunabonge la SOLEX.
Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher uende umekamilika ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha, mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!
Lakini all the best.
 
Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Hapa mtaji wa unaweza kuwa ngapi yaani kumiliki crusher na mwalo..?
 
Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekosa kwa gallery yangu, mwalo ni sehem unayofanyia process zote. Kuanzia kununua mawe..had kutoa dhahabu.

Risk zipo, mfano kununua mawe ya Bei yachini..au mawe yenye copper Sana ukija kamilisha kazi yako ukiend maabara kupima lazima purity ya dhahabu isome chini..ukisoma chini jua hasara ..utauza kwa Bei ya kutupwa, leseni Kule watu wanakataa kitambulisho Cha mjasiriamali anamalizana.

Kifusi kizuri ukubali kununua mawe mazuri yenye ubora ..na hizo copper inategemea na mwamba huko chini.
 
Faida kwa mwezi ukiwa na crusher inafika shillingi ngapi? Risks zitokanazo na kumiliki crusher ni nn? Kumiliki crusher mtu anahitaji kusajiliwa awe na leseni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetengeneza kifusi kizuri faida hukosi 5-7m! Inategemea Sasa na ukubwa wa kifusi ..approx 3mths...Ila km una speed ni 2 mths..km una kalasha 2 ni 30 days to 45 days!

Hela ya dhahabu tamu mno! Ukiingia huko kutoka huwa with🙌!
 
Kama umetengeneza kifusi kizuri faida hukosi 5-7m! Inategemea Sasa na ukubwa wa kifusi ..approx 3mths...Ila km una speed ni 2 mths..km una kalasha 2 ni 30 days to 45 days!
Hela ya dhahabu tamu mno! Ukiingia huko kutoka huwa with[emoji119]!
Mjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mwezi 1 buhemba huku Musoma hii kazi inalipa kabisa ukiamua mi nna jamaa'angu kanambia nunua dhahabu kitu ilokamika (ukota) taratibu ukishayaelewa mazingira kalasha lile pale na mwalo upo fanya kazi mtaji sina. mjini hamna kitu naenda kwa wiki mara 1
 
Mjini amna hela sahiv itabidi tuhamishie majeshi mugodini na shambani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini kugumu..ukifumba macho ukakaa mwaka na nusu..ukawa smart usifuje hela unaondoka na mtaji mzuri..Ila sijui y ngumu sn kuquit mazima..niliambiwaga ukishika hela ya dhahabu ya kwanza tu ngumu Sana kuchomoka...Kuna ukwel...nadhan coz ni hela ndefu ndefu..karibuni..Ila msiende kichwa kichwa...! Usishikwe na mtu yyt akakupa deals. .utapigwa had uchakae..kuwa kauzu soma kwanza mchezo even 3mths
 
Ika Kama una mtaji Bora ununue Hilo mashine..crusher ..uende umekamilika...ukiwa na mtaji every 3months unapata faida Nene ..dhahabu inapanda na kushuka Sana. Kam unamtaji wa mawazo hutaona raha...mfano leo unamake faida 200k kesho inadrop unatoka na faida ya 22000!....
Lakini all the best ..
Hivi sister zile mashine za kusaga mawe yawe madogo [Si makalasha yakutoa unga] huwa ni bei gani na sijaona mnazizungumzia kabisa hapa.
 
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa ramadhani.

Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadha za king chukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara
Dhahabu siku hizi unauza na kumunua kama mkate dukani.Kila Mkoa kuna soko la madini hakuna siri za chini chini kama usajiri wa Yanga.Na kamma unataka kuwa Blocker aau dealer mkubwa nenda kwenye mtandao wa wizara miongozo yote ipo wazi au ulitaka wewe ndio utuingize king sisi.Mwaka huu mtakpma ja ha
 
Back
Top Bottom