Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

hili wazo nimelipenda sana hebu jamani wana jf tulitafakari
 
Naomba kujua updates za biashara yako
 
Hi mwana ifm naomba nije kwako unipe mwongozo mi nimemaliza banda na machine zipo ila sijui pa kununua mahindi lakin pi a na Fundi wa umeme.. 0784800989
Hi.. naamini mpaka sasa biashara umeshaianza, naomba mwongozo upatikanaji wa hizo mashine na gharama zake tafadhali,..
 
Habari wana JF

Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo cha sembe na dona je ninahitajika vibali gani au niweke kwanza majengo na mashine.

Je mtaji kiasi gani?

Location ni Kibaha msaada zaidi sifahamu chochote nabje raw materials nitapata wapi?
 
Ukifanikisha shuguli zote za ufunguzi nakuanza operation nitafute niwe nakuletea MAHINDI hapo kibaha kwa being nafuu.
Habari wana JF
Nahitaji KUANZISHA KIWANDA KIDOGO cha SEMBE NA DONA JE NINAHITAJIKA VIBALI GANI AU NIWEKE KWANZA MAJENGO NA MASHINE. JE MTAJI KIASI GANI? LOCATION NI KIBAHA MSAADA ZAIDI SIFAHAMU CHOCHOTE NABJE RAW MATERIALS NITAPATA WAPI??
 
Habari wana JF
Nahitaji KUANZISHA KIWANDA KIDOGO cha SEMBE NA DONA JE NINAHITAJIKA VIBALI GANI AU NIWEKE KWANZA MAJENGO NA MASHINE. JE MTAJI KIASI GANI? LOCATION NI KIBAHA MSAADA ZAIDI SIFAHAMU CHOCHOTE NABJE RAW MATERIALS NITAPATA WAPI??
Nenda SIDO
Utapata mashine na ushauri kuhusu vibari n.k
 
Wote ambao mna wazo kama hili niwashauri tu Muende SIDO ya Moshi Mjini wale ndo mabingwa wa mashine hizi za kusaga na kukoboa complete na pia mota zao sio hizi za Kichina za kufa kila mara Pale ukichukua utapiga kazi hadi utasahau kabisa. Bei zao sina hakika kwa wakati huu zimefika ngapi ila inarange kati ya 3.5 to 5M nashauri mtafute mawasiliano na yeyote pale kufanikisha hilo. zingatia ushauri huu then thanks me letter.
 
Vipi kuhusu SIDO ya DSM?
 
hivi hawa sido wana matatizo gani?,mbona hawajitangazi?,maana nina hakika wangekuwa wanajitangaza sasa hivi wangekuwa ni kampuni kubwa mithili ya Google au Apple
 
Ukikamilisha mitambo,nitafute kuhusu kukomboa na kusanga mkuu. nitakusaidia pia masoko ya mahindi kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…