Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

Mkuu nimefanya tofauti tofauti kwanzia nyanya iringa, moro, hadi mahindi na alizeti (nakamua mafuta) pande za dodoma vijijini kupeleka hasa hasa dsm
Hongera mkuu, Changamoto zake kubwa ilikuwa Ni nini kiongozi
 
Mazao ya mbogamboga za kuharibika kama nyanya risk ni kubwa.. Mahindi ilikuwa poa sana kasoro tu usafiri gharama kubwa hasa kama unatoa mzigo vijijini, bado haikati lakin kama una usafiri wako (fuso au kipisi) ni advantage sana na mtaji mnene mnene ni added advantage(faida ya kubebea semi sio sawa na kubeba na fuso mara 3). Pia ukubali kuishi vijijini hata kwa wiki 2 au zaidi wakati wa kukusanya vijijini(hapa watoto wa mjini ndo watashindwa)
 
Attachments

  • IMG_20220706_094231.jpg
    IMG_20220706_094231.jpg
    628.4 KB · Views: 75
Mazao ya mbogamboga za kuharibika kama nyanya risk ni kubwa.. Mahindi ilikuwa poa sana kasoro tu usafiri gharama kubwa hasa kama unatoa mzigo vijijini, bado haikati lakin kama una usafiri wako (fuso au kipisi) ni advantage sana na mtaji mnene mnene ni added advantage(faida ya kubebea semi sio sawa na kubeba na fuso mara 3). Pia ukubali kuishi vijijini hata kwa wiki 2 au zaidi wakati wa kukusanya vijijini(hapa watoto wa mjini ndo watashindwa)
Kipisi ndio gari gani?
 
Nyanya Kwa moro ulikua unatoa wap
 
Back
Top Bottom