Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #21
Hongera mkuu, Changamoto zake kubwa ilikuwa Ni nini kiongoziMkuu nimefanya tofauti tofauti kwanzia nyanya iringa, moro, hadi mahindi na alizeti (nakamua mafuta) pande za dodoma vijijini kupeleka hasa hasa dsm
Mazao ya mbogamboga za kuharibika kama nyanya risk ni kubwa.. Mahindi ilikuwa poa sana kasoro tu usafiri gharama kubwa hasa kama unatoa mzigo vijijini, bado haikati lakin kama una usafiri wako (fuso au kipisi) ni advantage sana na mtaji mnene mnene ni added advantage(faida ya kubebea semi sio sawa na kubeba na fuso mara 3). Pia ukubali kuishi vijijini hata kwa wiki 2 au zaidi wakati wa kukusanya vijijini(hapa watoto wa mjini ndo watashindwa)Hongera mkuu, Changamoto zake kubwa ilikuwa Ni nini kiongozi
Kaka DSM mafuta ya alizeti ulikuwa unapeleka wapiMkuu nimefanya tofauti tofauti kwanzia nyanya iringa, moro, hadi mahindi na alizeti (nakamua mafuta) pande za dodoma vijijini kupeleka hasa hasa dsm
Mafuta ya alizeti nilikuwa nakomaa nazo lita tano tano nauza fb na kwa watu wangu.Kaka DSM mafuta ya alizeti ulikuwa unapeleka wapi
Asali una uzoefu nayo?Mafuta ya alizeti nilikuwa nakomaa nazo lita tano tano nauza fb na kwa watu wangu.
Asali fanya survey tabora na katavi wiraya ya inyongaAsali una uzoefu nayo?
Iyo sio app ni website, ingia Google andika Bei ya mazao zitakuja link utajiongeza.Hii application uliyoscreen shot inaitwajwe?
Market chiefAsali fanya survey tabora na katavi wiraya ya inyonga
B4
Kipisi ndio gari gani?Mazao ya mbogamboga za kuharibika kama nyanya risk ni kubwa.. Mahindi ilikuwa poa sana kasoro tu usafiri gharama kubwa hasa kama unatoa mzigo vijijini, bado haikati lakin kama una usafiri wako (fuso au kipisi) ni advantage sana na mtaji mnene mnene ni added advantage(faida ya kubebea semi sio sawa na kubeba na fuso mara 3). Pia ukubali kuishi vijijini hata kwa wiki 2 au zaidi wakati wa kukusanya vijijini(hapa watoto wa mjini ndo watashindwa)
Kipisi ndio gari gani?
Sh ngapi sasa gunia?Bihashara ya mahindi sahiz haieleweki
Nyanya Kwa moro ulikua unatoa wapMazao ya mbogamboga za kuharibika kama nyanya risk ni kubwa.. Mahindi ilikuwa poa sana kasoro tu usafiri gharama kubwa hasa kama unatoa mzigo vijijini, bado haikati lakin kama una usafiri wako (fuso au kipisi) ni advantage sana na mtaji mnene mnene ni added advantage(faida ya kubebea semi sio sawa na kubeba na fuso mara 3). Pia ukubali kuishi vijijini hata kwa wiki 2 au zaidi wakati wa kukusanya vijijini(hapa watoto wa mjini ndo watashindwa)