Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Hizo ni ndogo sana huwezifanya biashara ya Mbao. Mfano gharama ya usafiri/ Lorry La mbao kutoka Sao Hill - Mwanza ni zaidi ya 4 M. Thamani ya mzigo unaobebwa ni 19M - 20M.Aliyependekeza 50M yuko sahihi.
Huyo mwenye million hamsini, si alianza kwa mtaji mdogo.
 
Nimejifunza kitu kutoka kwako Mkuu thanks alot!

Ni watu wachache wenye kusema ukweli vijana wengi wanaogopa Sana Risks!

Ahsante sana Mkuuu!
 
Mbona mtaji unatosha Sana kwa kuanzia mkuu. Fanya HV kamata msumeno wa duara,bench na engine no total 3ml
Kama msitu wa kwanza mdogo kwa 1m. Operation 500k

Wateja watafwata mbao huko huko ukiwa serious ndan ya miez kadhaa utapata mtaji wa kufungua site yako

By the way nauza machine mkuu
 
Mkuu,

Mtaji wa 5m ni mkubwa au mdogo kulingana na namna ya ambavyo umeamua kufanya biashara hii. Kwanza sikushauri uanze kwa kusafirusha na kuuza mikoa mingine, nadhani ni vyema zaidi ukanunua mashine kama wadau wengine walivyoshauri ukaingia porini Mufindi watu huwa wanauza miti kwa hekari kwa bei rahisi sana (hasa mwezi wa kwanza na wa saba) watoto wanapofungua shule.

Tumia hiyo gap tafuta vijana, ingia porini,chana mbao wanunuzi watazifuata huko huko. baada ya kama miezi 6 kama utakuwa serious naamini utakuwa umepata hiyo 50m+uzoefu, hapo ndio unaweza kuanza kusafirisha.

Its very possible mkuu,
All the best.
 

Miti 100,000 inachukua eneo la ukubwa gani?

Na bei ya eneo kama hilo huko ulikokutaja ni Tshs ngapi?
 
Safii mkuu. Nitakucheki na neno na wewe
 
Asante Braza umefafanua vyema
 
Mkuu, maendeleo kwasasa yakoje? Naweza kupata ardhi huko kwa bei gani?
 
Mkuu, semi moja ni tani ngapi za mbao? Hizo ni aina gani za mbao? Vipimo vyake vikoje?
 
Mkumbuke kuleta mirejesho basi, watu tunajitaidi kutoa mawazo alafu mnaondoka kimya kimya bwana.
 
[emoji114][emoji114]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…