Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana,
Hakuna kiingilio kabisa,cha umuhimu ni uaminifu wako tu, nipe mail yako kupitia pm ili tuanze mawasiliano ya moja kwa moja.[/QUOTE
Pia kuna ekari 13 kati ya hizo eka 8 zimepandwa paini na ekari 5 zimepandwa mlingoti. Hilo eneo lina uzwa million 32 na miti ina umri wä miaka 6 iko uchindile~mgololo~mufundi, (hyo bei ni miti +shamba)
Habari Bw Malila nimependezwa na uzi huu nami ningrpenda kuwa mwanachama wa kikundi hiki. kama naruhusiwa email address yangu ni "ndandidzi@gmail.com" asante sana
Nimeshakupa mwaliko kupitia mail yako pamoja na wengine walioko kwenye ukurasa huu. Karibuni tufanye mambo.
Karibu.Asante sana Bw Malila ngoja ngoja niupokee mualiko huo
Ufadhiri huo umekaaje mkuu?Hii mitiki (teak) inachukua muda mrefu sana kuwa na bei nzuri ni ya miaka 15 na kuendelea, ila ukiwa unafanya thining ya shamba unaanza kuuza kuanzia miaka saba, na ina hela mti unaweza fika hadi milioni moja(wanatumia kwa nguzo za umeme ,kujenga meli na fenicha za gharama), kuhusu mbegu sifahamu ila European union wanafadhili mradi huko Kilombero nasikia tayari wana hekta 3000
Kwa wadau wanaotaka kuingia, kuna mashamba mazuri Uchindile, bei ni Tsh 90,000/ kwa eka. Kuna mashamba pia Mufindi kijiji cha Ukami - 120km toka Iringa mjini, bei ni Tsh 100,000/
Kuna mashamba tunauziana wana - group, hayo hayatajwi hapa.
Kwa wadau wanaotaka kuingia, kuna mashamba mazuri Uchindile, bei ni Tsh 90,000/ kwa eka. Kuna mashamba pia Mufindi kijiji cha Ukami - 120km toka Iringa mjini, bei ni Tsh 100,000/
Kuna mashamba tunauziana wana - group, hayo hayatajwi hapa.
Mimi nina mashamba ya miti Njombe, huko Hakuna Ban wala restriction yoyote ya uvunaji miti. Miti ni yako ni kibali cha kijiji tu then wakata, yule anaepakia kupeleka mbao dar Au mkoa mwingine ndiye atakaetembea na kibali cha usafirishaji na hakina complication hata kidogo
Labda kwakua Njombe miti ndiyo zao lao la biashara, jaribu kuongea na serikali ya kijiji upate utaratibu ulivho huko moshi