D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Jamani leteni msaada
sent from posta
sent from posta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara ya mbao ni nzuri japo mm niliifanya 2015 ikanipelekea kupata matatzo makubwa ambapo nilimpata mtu akaniuzia miti aina ya mipaina mizuri mikubwa ilikuwa na km umri wa miaka kumi (10) mimi nikailipia na kuanza kuvuna ilikuwa km nusu heka, nikachukua vijana wa kupasua wakaja wakakata,wakabiliga na kuanza kuchana baada ya wiki mbili wakawa wamemalza.Nasikia Biashara ya mbao au ukataji mbao na inalipa? Au kama mtu yeyote mwenye ufahamu wowote wa hii biashara naomba anisaidie.
============================================
MICHANGO WA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
=============================================
Hii biashara ya mbao ni nzuri japo mm niliifanya 2015 ikanipelekea kupata matatzo makubwa ambapo nilimpata mtu akaniuzia miti aina ya mipaina mizuri mikubwa ilikuwa na km umri wa miaka kumi (10) mm nikailipia na kuanza kuvuna ilikuwa km nusu heka, nikachukua vijana wa kupasua wakaja wakakata,wakabiliga na kuanza kuchana baada ya wiki mbili wakawa wamemalza.
Ghafla, mm sina hili wala lile nikapigiwa simu na mafundi wangu yakuwa nahitajika porini, sikupoteza muda nikaelekea baada. Muda mfupi nilipofika nikapigwa pingu mpk kituoni, nikakutanishwa na mwenyewe tofauti na yule alieniuzia baada ya hapo kesi iliendeshwa ikawa ni janga kwangu kulipa faini kubwa na kifirisika nikawa km nimetapeliwa maan huyu alienishika alikuwa na vielelezo vyote km mmiliki halali.
Kwa mfanya biashara hii sms ukiiangalia vizuri ina utata sana ndio maana haijaonesha feedback za chap chap sana hapa.Hi guyz,mm nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane
Tajaa aina za mbao unazoitaji ndg.Hi guyz,mm nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane
PoaNgoja nkae siti ya mbele kusubiria wajuzi wa mambo
Poa mkuuNgoja nkae siti ya mbele kusubiria wajuzi wa mambo
Hahahaaa nimechekakwa kuanzia tu labda,hapo wakija wateja wa 2 tu wanaopaua nyumba za kawaida wanamaliza stock yoote.
Niko Dodoma una idea yoyote mkuu?Uko Api mkuu
Mimi niko Dodoma nataka nitoe mbao Mafinga naleta hapa mjini.Hizo ni ndogo sana huwezifanya biashara ya Mbao. Mfano gharama ya usafiri/ Lorry La mbao kutoka Sao Hill - Mwanza ni zaidi ya 4 M. Thamani ya mzigo unaobebwa ni 19M - 20M.Aliyependekeza 50M yuko sahihi.
kwa kuanzia tu labda,hapo wakija wateja wa 2 tu wanaopaua nyumba za kawaida wanamaliza stock yoote.