Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

Subscribed

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia Biashara ya mbao au ukataji mbao na inalipa? Au kama mtu yeyote mwenye ufahamu wowote wa hii biashara naomba anisaidie.

============================================
MICHANGO WA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
=============================================
Hii biashara ya mbao ni nzuri japo mm niliifanya 2015 ikanipelekea kupata matatzo makubwa ambapo nilimpata mtu akaniuzia miti aina ya mipaina mizuri mikubwa ilikuwa na km umri wa miaka kumi (10) mimi nikailipia na kuanza kuvuna ilikuwa km nusu heka, nikachukua vijana wa kupasua wakaja wakakata,wakabiliga na kuanza kuchana baada ya wiki mbili wakawa wamemalza.

Ghafla, mm sina hili wala lile nikapigiwa simu na mafundi wangu yakuwa nahitajika porini, sikupoteza muda nikaelekea baada Muda mfupi nilipofika nikapigwa pingu mpk kituoni, nikakutanishwa na mwenyewe tofauti na yule alieniuzia baada ya hapo kesi iliendeshwa ikawa ni janga kwangu kulipa faini kubwa na kifirisika nikawa km nimetapeliwa maan huyu alienishika alikuwa na vielelezo vyote km mmiliki halali.
 
Hii biashara ya mbao ni nzuri japo mm niliifanya 2015 ikanipelekea kupata matatzo makubwa ambapo nilimpata mtu akaniuzia miti aina ya mipaina mizuri mikubwa ilikuwa na km umri wa miaka kumi (10) mm nikailipia na kuanza kuvuna ilikuwa km nusu heka, nikachukua vijana wa kupasua wakaja wakakata,wakabiliga na kuanza kuchana baada ya wiki mbili wakawa wamemalza.

Ghafla, mm sina hili wala lile nikapigiwa simu na mafundi wangu yakuwa nahitajika porini, sikupoteza muda nikaelekea baada. Muda mfupi nilipofika nikapigwa pingu mpk kituoni, nikakutanishwa na mwenyewe tofauti na yule alieniuzia baada ya hapo kesi iliendeshwa ikawa ni janga kwangu kulipa faini kubwa na kifirisika nikawa km nimetapeliwa maan huyu alienishika alikuwa na vielelezo vyote km mmiliki halali.

Pole mkuu
 
  • Thanks
Reactions: smy
Hi guyz, mimi nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane.
 
Kwa wana JF,

Naomba kwa yeyote anayefanya biashara ya kuuza mbao au kwa aliyewahi kufanya biashara hii, naombeni sana kujua pesa ya chini ya kuanzia biashara hii, kuuza kwa kukopesha au rejareja ipi nzuri, faida na hasara yake na gharama ya kibali.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guyz,mm nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane
Kwa mfanya biashara hii sms ukiiangalia vizuri ina utata sana ndio maana haijaonesha feedback za chap chap sana hapa.

Agro Business Iringa
 
Hi guyz,mm nahitaji saana kununua mbao aina yoyote ila zenye ubora namaanisha nahitaji mzigo mkubwa ikiwezekana kama ni mfanyabiashara mkubwa tunaweza tukaingia long contract aliyeteyari naomba tuwasiliane
Tajaa aina za mbao unazoitaji ndg.
 
Ndugu zangu nisaidieni nina million 5 za biashara ya mbao, mtaji huu unatosha? Na niuzeje rejareja au jumla ipi inalipa. Asanteni.
 
Hizo ni ndogo sana huwezifanya biashara ya Mbao. Mfano gharama ya usafiri/ Lorry La mbao kutoka Sao Hill - Mwanza ni zaidi ya 4 M. Thamani ya mzigo unaobebwa ni 19M - 20M.Aliyependekeza 50M yuko sahihi.
Mimi niko Dodoma nataka nitoe mbao Mafinga naleta hapa mjini.
 
Umeshapata soko mkuu? Pamoja na kufanya feasibility study vizur?
Kama ndio basi haitokuwia vigumu sana kuanza kuogopa risk ya mtaji!
 
Back
Top Bottom