Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

Bongo movi zimebaki wa mabeki tatu..na felia yani wenye elimu ndogo za la saba na 4m4 felia..msomi na mwenye akili timamu jawezi angalia huo upuuzi..kwanza hawana jipya wanabadili jina la muvi na waigizaji ila maudhui hua ni yale yale..mapenzi na uchawi.

Huwa hawaangalii sifa za mtu bali huangalia matako na uhendisamu..ndio mana wengi wa bongo muvie ni malaya wanaotafuta kupanua wigo na mario wanotafuta kulelewa(mtanisamehe ila ndio ukweli)..hivyo hutumia uingizaji kama platform ya kujulikana,wengi wao hawana kipaji wala elimu.

Pia hakuna uwekezaji..hawako tayari kuweka pesa..ili kutengeneza kitu chenye ubora..kuanzia vifaa na editing pia na logistics zingine.

Ubunifu ni zero..wengi wanakuja na mawazo yao..hawazomi vitabu kujiongezea maarifa kopy na paste ni nyingi..

Kimsingi bongo movie bongolala taaluma isiyotumia akili..

Ushauri warudi shule wakasomee mambo ya filming..wawekeze pia waaache kuokoteza malaya na marioo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda sana hii comment
 
Mtu anatakiwa aigize uangalie mpaka usahau kuwa anaigiza....
Asa Bongo movie wanaigiza unaona kabisa hawa wanaigiza si ushenzi huo...
🤪🤪Ukiwa unaangalia unaweza kufoad mpaka ukajua muvi inaishiaje🤣🤣
 
Comedy ndo taka....taka kabisa
Kidogo orijino comedy lakini nyingine taka taka kweli
 
Kwenye mov bongo bado sanaaila kuna tamthilia zinahit sana sahizfano SIRI ZA FAMILIA, hii olivumaa sanaa halafu kuna hii ya azam inaitwa UHURU sijui kama kuna nyingine.
 
Bongo movie wamekosa platform ya kuuzia kazi zao. CD haziuzi siku hizi maana hamna anayetumi na mtu anaikopi na kuiba kazi. Tz hatuna kumbi za Cinema za kutosha kama nchi zingine ambazo ndiyo tegemeo kubwa la biashara movie.
Pia streaming services kama Netflix haiwezekani kwa mabando haya.

Nilikuwa nafikiria labda wangeanzisha tv channel ambayo mtu ananunua movie humo(pay per view). Inakuwa kama streaming service ila kupitia TV channel.
Mkuu kabisa ununue!!! Mm hata bure siangalii
 
Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.

badala yake mnaangalia tamthilia za kihindi na kikorea[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Cha kusikitisha hakuna wa kujiongeza kama Kanumba
I second you mkuu, hamna muvi za kidwanzi kama bongomuvi. Kwanza Ni low budget muviz na wahusika wanashindwa kuvaa uhusika kweli, story ukiangalia dk.5 unajua kabisa mwisho wake ukoje. Quality mbovu, yaan ukishoot na ProMax ngoma inaweza ikawa Kali zaidi.
 
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
Kazi yenyewe hiyo inayohitaji platform ni ipi
Shida inaanzia kwenye ubora, kiwango, story na waigizaji wenyewe

Yan hiyo platform ikipatikana hata bure waangaliaji ndo itakuwa hawapo
 
Huwezi kutoa movie nzuri au bora kwa bajeti kubwa kama huna sehemu ya kuuzia. Shida kubwa ya bongo movie kwa sasa ni namna ya kuuza na kukabiliana na uharamia. Hapo miaka kadhaa watu wengi walitumia CD, bongo movie walipata hela na pengine hadi sasa wangekuwa wameimprove sana. Ghafla CD zikawa ishu za kizamani na watu wakaanza kupirate kazi zao, ikawa hailipi tena. Ndiyo sababu za kutengeneza movie mbovu kwa bajeti za laki nane.

Na pia hata kama wanatoa kitu quality hawataweza uza netflix sababu ya watanzania na kumudu gharama za bando.

Ndiyo maana nimeshauri labda waanzishe streaming service isiyotumia bando, waanzishe channel ya tv ya kulipia.
Watu wanawekeza pesa ndefu kwenye movie na kutia vitu bora kwa sababu zinalipa na wana uhakika wa soko, bongomuvie imekosa hicho kitu, pamoja na mambo mengine, hili nalo ni chanzo kikubwa cha kutoa movie za kijinga.
Tufanye katokea mtu wa kuwasponsor watoe kazi kwality...wana hiyo story ya kiigiza? Wana hao watu wa kuicheza hiyo filamu

Na shida huna namna ya kuwashauri kwq sababu kila mtu much know

Imagine ray ambaye niliamini labda ndo angekuwa anamkaribia karibia kanumba lakini ni kituko kwenye filamu hata mtu asiye na uzoefu ukimuokota barabarani akaigize anaweza kumzidi mbali
 
Bichuno... Sward man ship.... Ijmae.... Aisee utanitoaje corea et nimuangalie Tin white?
 
Bongo muvies wapo vizur upande wa comedy tuh kwa upande wangu mfan kina mkojan na tim yake pia
Lakn kuna jamaa anaitwa Madebe au Nabii mswahil yupo vizur muvie zake zinafaa na zina ujumbe mzur
Zaid ya hapo amn lolote watu weng wanapenda action muvies na bongo tumefel hapo
Hao wenyewe wana makosa mengi tu. Tena mengi sio ya kibajeti ni uzembe tu. Nafikiri wanahitaji kwenda darasani kwanza.
 
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
Kuuza watamuuzia nani mkuu. Bongo molvie wana makosa mengi sana, hakuna uhalisia kwenye kazi zao. Shida ya bongo movie ni ubora, wakiboresha watapata pakuuzia.
 
We unataka kutizama movie ambayo jambazi anagonga hodi kabla ya kuiba? Tena kwanza anavua viatu kabla hajaingia ndani ya nyumba uku kashika bunduki
 
Hao waigizaji wa bongo muvi akili ndogo plus hawana pesa unategemea nini?
 
Mtu anayesema bora comedy hajaona comedy za kenya.Sisi mtu akikaza na style ya comedy basi atakaza nayo hadi izoeleke.mfano mkojani ingebid awe ashatafuta ubunifu mwingine zaidi ya lafudhi yake ya kipemba
 
uko sahihi.
 
Back
Top Bottom