Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

Nimeipenda sana hii comment
 
Nimeipenda sana hii comment
Mtu anatakiwa aigize uangalie mpaka usahau kuwa anaigiza....
Asa Bongo movie wanaigiza unaona kabisa hawa wanaigiza si ushenzi huo...
🤪🤪Ukiwa unaangalia unaweza kufoad mpaka ukajua muvi inaishiaje🤣🤣
 
Comedy ndo taka....taka kabisa
Kidogo orijino comedy lakini nyingine taka taka kweli
 
Kwenye mov bongo bado sanaaila kuna tamthilia zinahit sana sahizfano SIRI ZA FAMILIA, hii olivumaa sanaa halafu kuna hii ya azam inaitwa UHURU sijui kama kuna nyingine.
 
Mkuu kabisa ununue!!! Mm hata bure siangalii
 
badala yake mnaangalia tamthilia za kihindi na kikorea[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Cha kusikitisha hakuna wa kujiongeza kama Kanumba
 
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
Kazi yenyewe hiyo inayohitaji platform ni ipi
Shida inaanzia kwenye ubora, kiwango, story na waigizaji wenyewe

Yan hiyo platform ikipatikana hata bure waangaliaji ndo itakuwa hawapo
 
Tufanye katokea mtu wa kuwasponsor watoe kazi kwality...wana hiyo story ya kiigiza? Wana hao watu wa kuicheza hiyo filamu

Na shida huna namna ya kuwashauri kwq sababu kila mtu much know

Imagine ray ambaye niliamini labda ndo angekuwa anamkaribia karibia kanumba lakini ni kituko kwenye filamu hata mtu asiye na uzoefu ukimuokota barabarani akaigize anaweza kumzidi mbali
 
Bichuno... Sward man ship.... Ijmae.... Aisee utanitoaje corea et nimuangalie Tin white?
 
Hao wenyewe wana makosa mengi tu. Tena mengi sio ya kibajeti ni uzembe tu. Nafikiri wanahitaji kwenda darasani kwanza.
 
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
Kuuza watamuuzia nani mkuu. Bongo molvie wana makosa mengi sana, hakuna uhalisia kwenye kazi zao. Shida ya bongo movie ni ubora, wakiboresha watapata pakuuzia.
 
We unataka kutizama movie ambayo jambazi anagonga hodi kabla ya kuiba? Tena kwanza anavua viatu kabla hajaingia ndani ya nyumba uku kashika bunduki
 
Hao waigizaji wa bongo muvi akili ndogo plus hawana pesa unategemea nini?
 
Mtu anayesema bora comedy hajaona comedy za kenya.Sisi mtu akikaza na style ya comedy basi atakaza nayo hadi izoeleke.mfano mkojani ingebid awe ashatafuta ubunifu mwingine zaidi ya lafudhi yake ya kipemba
 
uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…