Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nani kasema hayo?Hahahaha, unachekesha kama bongo movie. Netflix wanunue uchafu wa bongo movie?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasema hayo?Hahahaha, unachekesha kama bongo movie. Netflix wanunue uchafu wa bongo movie?????
Uliiangalia wapi mkuuNimeangalia moja mtandaoni jana inaitwa Chumba cha Msukule, safi sana na imafikirisha mno.....ila ndiyo hivyo wapumbavu wamesha haribu njia kiasi kwamba wengine wanashindwa kupita.
Yale maandamano na Dr. Bashite hayakusaidia?Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.
Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika zaidi.
Iliibuka kamata kamata kubwa sana ya wauzaji wa kazi za wasanii wa ndani.
Baada ya ile kamata kamata hakukuwa na Mrejesho kuwa sasa wasanii wanapata pesa kwa haki bali ni kudorora kwa soko.
Je nani aliua lile soko la filamu za ndani? Kwa nini soko la filamu za ndani life la nje libaki?
Uko sahihi 100%.Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Tatzo sio mabando tatzo ubora wa movies za bongo haujakizi ili kuwekawa NetflixBongo movie wamekosa platform ya kuuzia kazi zao. CD haziuzi siku hizi maana hamna anayetumi na mtu anaikopi na kuiba kazi. Tz hatuna kumbi za Cinema za kutosha kama nchi zingine ambazo ndiyo tegemeo kubwa la biashara movie.
Pia streaming services kama Netflix haiwezekani kwa mabando haya.
Nilikuwa nafikiria labda wangeanzisha tv channel ambayo mtu ananunua movie humo(pay per view). Inakuwa kama streaming service ila kupitia TV channel.
Mm niliacha toka Kanumba alivyokufaMtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.Tatzo sio mabando tatzo ubora wa movies za bongo haujakizi ili kuwekawa Netflix
😁😁😁Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Yan una bidhaa mbaya alaf et usingizie sokon unabaguliwa kwaiyo unataka utengenze genge lako peke yako kwel? Kwanza waboreshe movie zao waendane na soko ndio waanzishe platform yaoSikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
Huwezi kutoa movie nzuri au bora kwa bajeti kubwa kama huna sehemu ya kuuzia. Shida kubwa ya bongo movie kwa sasa ni namna ya kuuza na kukabiliana na uharamia. Hapo miaka kadhaa watu wengi walitumia CD, bongo movie walipata hela na pengine hadi sasa wangekuwa wameimprove sana. Ghafla CD zikawa ishu za kizamani na watu wakaanza kupirate kazi zao, ikawa hailipi tena. Ndiyo sababu za kutengeneza movie mbovu kwa bajeti za laki nane.Yan una bidhaa mbaya alaf et usingizie sokon unabaguliwa kwaiyo unataka utengenze genge lako peke yako kwel? Kwanza waboreshe movie zao waendane na soko ndio waanzishe platform yao
Hakika, wanachojua ni kugombania madem tuMtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.