Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

Nimeangalia moja mtandaoni jana inaitwa Chumba cha Msukule, safi sana na imafikirisha mno.....ila ndiyo hivyo wapumbavu wamesha haribu njia kiasi kwamba wengine wanashindwa kupita.
Uliiangalia wapi mkuu
 
I second you mkuu, hamna muvi za kidwanzi kama bongomuvi. Kwanza Ni low budget muviz na wahusika wanashindwa kuvaa uhusika kweli, story ukiangalia dk.5 unajua kabisa mwisho wake ukoje. Quality mbovu, yaan ukishoot na ProMax ngoma inaweza ikawa Kali zaidi.
 
Sijui ata wanapata wapi hela hawa wabongo movie. Maana hakuna raia anaenunua kazi zao.

Kuna siku nimetoka Mlimani city, nakutana na mshikaji kanisalimia. Nikajua ananifahamu. Nakuta ananionesha CD yeye ni msanii sasa wanauza yaani anauza kama pipi eti nimsapoti. Mi nikamwambia ata CD player sina naangalia Netflix.
 
Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.

Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika zaidi.

Iliibuka kamata kamata kubwa sana ya wauzaji wa kazi za wasanii wa ndani.

Baada ya ile kamata kamata hakukuwa na Mrejesho kuwa sasa wasanii wanapata pesa kwa haki bali ni kudorora kwa soko.

Je nani aliua lile soko la filamu za ndani? Kwa nini soko la filamu za ndani life la nje libaki?
Yale maandamano na Dr. Bashite hayakusaidia?
 
Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Uko sahihi 100%.
 
Bongo movie wamekosa platform ya kuuzia kazi zao. CD haziuzi siku hizi maana hamna anayetumi na mtu anaikopi na kuiba kazi. Tz hatuna kumbi za Cinema za kutosha kama nchi zingine ambazo ndiyo tegemeo kubwa la biashara movie.
Pia streaming services kama Netflix haiwezekani kwa mabando haya.

Nilikuwa nafikiria labda wangeanzisha tv channel ambayo mtu ananunua movie humo(pay per view). Inakuwa kama streaming service ila kupitia TV channel.
Tatzo sio mabando tatzo ubora wa movies za bongo haujakizi ili kuwekawa Netflix
 
Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Mm niliacha toka Kanumba alivyokufa
 
Tatzo sio mabando tatzo ubora wa movies za bongo haujakizi ili kuwekawa Netflix
Sikumaanishe waweke movie zao Netflix, ubora uko chini bali watengeneze streaming platform kama Netflix maana shida kubwa ya Bongomovie kwa sasa ni kukosa platform ya kuuza kazi zao.
 
Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
😁😁😁
 
Yan una bidhaa mbaya alaf et usingizie sokon unabaguliwa kwaiyo unataka utengenze genge lako peke yako kwel? Kwanza waboreshe movie zao waendane na soko ndio waanzishe platform yao
 
Comedy pia bado bado ukiangalia za Kenya ndio utajua sisi bado
 
Yan una bidhaa mbaya alaf et usingizie sokon unabaguliwa kwaiyo unataka utengenze genge lako peke yako kwel? Kwanza waboreshe movie zao waendane na soko ndio waanzishe platform yao
Huwezi kutoa movie nzuri au bora kwa bajeti kubwa kama huna sehemu ya kuuzia. Shida kubwa ya bongo movie kwa sasa ni namna ya kuuza na kukabiliana na uharamia. Hapo miaka kadhaa watu wengi walitumia CD, bongo movie walipata hela na pengine hadi sasa wangekuwa wameimprove sana. Ghafla CD zikawa ishu za kizamani na watu wakaanza kupirate kazi zao, ikawa hailipi tena. Ndiyo sababu za kutengeneza movie mbovu kwa bajeti za laki nane.

Na pia hata kama wanatoa kitu quality hawataweza uza netflix sababu ya watanzania na kumudu gharama za bando.

Ndiyo maana nimeshauri labda waanzishe streaming service isiyotumia bando, waanzishe channel ya tv ya kulipia.
Watu wanawekeza pesa ndefu kwenye movie na kutia vitu bora kwa sababu zinalipa na wana uhakika wa soko, bongomuvie imekosa hicho kitu, pamoja na mambo mengine, hili nalo ni chanzo kikubwa cha kutoa movie za kijinga.
 
Mtanisamehe kwa lugha nitakayotumia. Bongo movies ni too childish. Ukitaka kujifunza ujinga angalia bongo movies. sijui wanaotayarisha scripts hawaangalia movies za nje? Huwezi kukuta bongo movies kuna instant labda mpo mahakakani na pale kuna argument za kisheria either zinahusu mifarakano ya kibiashara au familia. Huwezi ona bongo movies waaigizaji wanajadili labda uwekezaji, issue za kikodi au diversification ya portfolio. Yaani pure childish.
My kids have been warned siku nikikuta wanaangalia hizo movies, kinafuata wanakijua, kwanza hawawezi.
Hakika, wanachojua ni kugombania madem tu
 
  • Ubunifu hafifu
  • Umaskini (kukoswa mbinu za kutafta wazamini)
  • Kupeana nafas kwa kuangalia umaarufu na sio ubora wa mtu kwenye nafas husika.
  • Matumiz madogo/ kitokuwa na matumiz ya technology katika kupendezesha movie zao.
  • Kufeli kuchagua location nzuri kwaajir ya scenes za movie zao
  • Kufanya kaz kwa mazoea.
Kwa dunia ya sasa lazma ujitaid kufanya movie nzur na yakuvutia kuanzia story, characters, location na ubunifu wa hali ya juu na matumiz ya technology pia ni mhimu, wenzetu wanatumia teknolojia kuanzia kwenye kutengeneza location, kutengeneza characters, kutengeneza na kurekebisha actions zote zinazotokea kwenye movie(hapa kwetu sasa ndio panatia kinyaa et mtu kafa lakin unaona anapumua kifua kinapanda juu na kushuka) ushauri wangu waanze kujifunza /ama watafte wataalam wa VFX pia itawasaidia
 
Back
Top Bottom