Mimi zamani nilikua nashangaa serikali ya chama tawala,ilipokua inasema mwaka huu imetoa ajira milioni tatu au mbili na ushee... nikaja nikagundua baadae kua kumbe hizo ajira ni jumuishi.Tambua wanawake wengi ambao wanajihusisha na siasa,wana bei zao,saloon mbalimbali zenye wanawake,hao pia wanna bei zao,wake za watu nao pia wana bei za,wauza matunda,karanga n.k wana bei zao,wanawake walioajiriwa,hao pia wana bei zao.
Almost kila mahala alipo mwanamke,ajira hiyo isiyo rasmi,imetamalaki.
Kama unabisha ni kwamba hujabahatika kujua mapema.