Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Naunga mkono hoja, ni kweli kabisa, huduma hiyo ndio the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.

The fortunate ones wao bidhaa zao zimenunuliwa kwa bei ya jumla na mteja mmoja, hivyo kuitwa jina la heshima "wife", the unfortunate ones inawabidi kuuza rejareja kwa wateja tofauti tofauti.

P.
Kaka paschal umenifanya niangue kicheko kikubwa mpaka watu wanashangaa hapa 😊😊🤣🤣😂😂
 
umesahau pia kuna mashoga wengi kinoma noma wanawake, wanaouza nyuma ivi nayo ni biashara ya ngono, au tuiite biashara ya kunyeana, daah hata nilewe vipi sitaki malaya, ntarudi kwa wake zangu rasmi.
 
TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.

Ndio ukweli,

Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.

Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji

Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.

Sasa piga mahesabu kuna Bar na Clubs ngapi za starehe hapa DSM na zote zinafurika hawa Wadada.

Sijapigia hesabu CASINO's.

Sijapigia hesabu PUB's hizo ndio balaaa wale wamiliki wa PUB nyingi ni Wanawake unajua kwanini? Haya simalizii.



Wale WAKE za watu au Wanafunzi wa vyuo ndio wanaitumia sana hii, wengi wanatoa huduma remotely yaan bila kukutana na MTEJA.

Watauza Videos zao za Utupu,
Wataweka bei elekezi umpigie VIDEO CALL uone Utupu Live yaani Full HD.

Hiyo yote ni Biashara.

Sijaitaja ile style yao ya BIASHARA ya Waziwazi. Maana ktk kila mitaa iliyochangamka hao watu wapo na wanajulikana. Na BIASHARA zinapofanyika watu wanajua.

>> KUNA BIASHARA nyingine inafanyika huko ktk SALOONS.

Piga hesabu kuna Saloon ngapi za kiume Mjini zile zenye wadada..

>> BIASHARA nyingine katika MASSAGE centers.

Piga hesabu kuna vilinge vingapi vya Masaji.. naaaaam unaona BIASHARA inavyobeba hazina ya Dada zetu ee..

>> BIASHARA nyingine inafanyika INDIRECTLY

Hii sasa ni ya kiintelijensia zaidi, yaan Mwanamke anawaunga ktk Mahusiano wanaume zaidi ya watano na kuwatenga ktk makundi yafuatayo:

1> Kodi ya Nyumba na Chakula
2> OUTINGS na starehe
3> SIMU na Bundles
4> ADA (kama ni mwanachuo)
5> Mtaji wa Biashara (Mara nyingi wanajifichia ktk Nguo na Viatu ndio biashara zao pendwa, wengine vipodozi na perfumes)

Sasa nihitimishe.

Ukiangalia kwa jicho la KITAALAM utaona ktk asilimia 100% ya wanawake wote, basi asilimia 89% wapo ktk huu mfumo wa BIASHARA. Ni hatari.

Binafsi, napata Changamoto sana ktk upande wa kuchagua MWANAMKE hata wa kuwa nae ktk MAHUSIANO kutokana na mtindo huo wa BIASHARA.

NDIO maana nawasisitiza vijana hasa wa KIUME wawe makini. Na wasije wakatepeliwa na kitu kinachoitwa ______ simalizii.
Mshawahi kujiuliza kwann wanajiingiza kweny hizo biashara??
Mshawahi kujiuliza kwann hio biashara ina stawi sana??
Biashara ita stawi bila wateja??
Hivi wateja wa hio biashara ni akina nani, ni wanaume au wanawake?

Uki tafakari kwa upande mmoja lazima utaona shida iko upande huohuo.
 
Naunga mkono hoja, ni kweli kabisa, huduma hiyo ndio the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.

The fortunate ones wao bidhaa zao zimenunuliwa kwa bei ya jumla na mteja mmoja, hivyo kuitwa jina la heshima "wife", the unfortunate ones inawabidi kuuza rejareja kwa wateja tofauti tofauti.

P.
Hahahahaha,nimeipenda hii
 
Pascal Mayalla ameandika hapo juu kuwa...
Wanawake wote mnauza hata wewe yaani.

Amesema tofauti mliyo nayo;

1. Wanawake ambao hawajaolewa biashara yao ni reja reja sababu wanauza kwa wanaume tofauti tofauti.
2. Mlioolewa mnsuza jumla kwa mwanaume mmija.
JE ni sahihi?

Mjibu pasksli
Hujanielewa? Narudia:

Siyo mpya hiyo biashara, hata kwenye biblia ipo tena amehusishwa Yesu kuwa kizazi chake ni cha kahaba aitwae Tamari. Kajisomee kama unaijuwa biblia ni nini.
 
Back
Top Bottom