Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

I don't gerrit! Unaposema wanajiuza unaweza kuwa spesific kidogo

On the same note, wanaume wa kizazi hiki ni irreaponsible seeds, haiwezekani unafunga safari kutoka nyumbani kwako unaenda baa kununua mbususu, halafu ukirudi kwako unajiita kichwa cha familia
Kuuza kuna aina nyingi na nimeelezea hapo.
Na nduguu yangu MAYALA ameelezea kiutaalam kwamba kuna REJAREJA na kuna Muuzo wa JUMLA. watu wengi kwenye ndoa wameuziwa JUMLA. ila haimaanishi mteja akiuziwa jumla ndio yake jumla hapana , muuzaji anaweza kuendelea kufanya mauzo ya REJAREJA pia. (Inahitajika AKILI kubwa kunielewa).

Responsibilities na kununua BIDHAA havina uhusiano.

Naweza hudumia Watoto pamoja na huyo aliyewaleta, ila nikawa naendelea kuenjoy BIDHAA za nje (Imported commodities).
 
Hebu jaribu kuwauliza hao unaowanunua, mimi siwezi kuwa na jibu lako

Ukitaka kuwasaidia hao wanawake wasijiuze, acha kuwanunua instead washauri namna nyingine ya kujikwamua kimaisha
Unachekesha.. hii ni maajabu.
 
Nadhani shida yako ni kwamba huna respect kwa wanawake, kuna lugh unatumia za kumdhalilisha mwanamke

Mtu ameolewa unasema ameuza jumla, this is not right, swallow your pride man.

Hawa unawazungumza hapa ni mama zako, dada zako, shangazi zako na pengine utakua na binti yako
 
Hebu jaribu kuwauliza hao unaowanunua, mimi siwezi kuwa na jibu lako

Ukitaka kuwasaidia hao wanawake wasijiuze, acha kuwanunua instead washauri namna nyingine ya kujikwamua kimaisha
😅😂😁😁😁Mie siwezi nunua mie nina mke wangu
 
Nadhani shida yako ni kwamba huna respect kwa wanawake, kuna lugh unatumia za kumdhalilisha mwanamke

Mtu ameolewa unasema ameuza jumla, this is not right, swallow your pride man.

Hawa unawazungumza hapa ni mama zako, dada zako, shangazi zako na pengine utakua na binti yako
Sijasema mimi.. nimenukuu maneno ya watu wengine.. ingawa kuna UKWELI.
 
Ndo biashara kongwe zaidi. Gharika inaanza Malaya kibao wanamgongea Nuhu mlango afungue akawajibu aliyefunga ni Mungu mwenyewe. Gharika ilifyeka malaya kibao. Yesu mwenyewe alikutana na mwanamke msamaria na kwa mujibu wa Yesu mwenyewe yule manzi alikuwa na wanaume watano. Yaani mabalaa yao yana historia ndefu sana.
 
Back
Top Bottom