Pia ili utoke jiepushe na tamaa za starehe uwapo popotte kibiashara.
nimekusoma chief japo yakupasa kuwa na bajeti ya kurefresh mind hata mwisho wa wik kwa mara moja, mfano mi situmii kilevi ni juice na maji na soda, haya disco la maana club haizid elf 10, no sometime tulifresh mind ila iwe with in a planed burget....!
Mmh. Mnaenda kununua Uganda; halafu wenyewe wakanunue Hongkong au Ulaya?
Ujamuelewa mkuu. Anamanisha ukitoka kibiashara kama kufata mzigo usijiingize kwa starehe ufate kilichokupeleka
Hata kama uko safari kibiashara umefuata mzigo, ukishamaliza kufunga mzigo si mbaya kutalii kidogo!
du hii biashara sijui kama utaifanya,hata hujui uanze na mtaji kiasi gani!hata hujui utaishi wapi ukiwa uganda!kwani wewe ndo wale wakisafiri hadi afikie kwa nduguye!!
Kuna rafik zangu 2 mmoja mkenya. Mwingine mtanzania waliwai fanya hivo kuendekeza starehe wakachukua na wanawake.
Asubuh walijikuta na boksa tu.mizigo yao ilikombwa na pesa pia. Na hawakupewa msaada wowote waliomba kulala store siku 3 hadi wakatumiwa nauli kwao.
Kama unaenda kuchukua mzigo usijiingize kwa starehe ila kama umeenda kutalii sawa
Nimejifunza kitu,ila mbona kuna waganda wanakuja kufunga mzigo Dar kariakoo
stuna kwani Uganda hakuna nguo za watoto? mbona kila anayeenda Uganda analeta nguo za wadada na wakaka
Mkuu Money Stunna binafsi umenisaidia sana..kwani mimi nko hapa Mutukula ajabu sijawahi kufika hapo kampala...najipanga nitaenda karibuni angalau nikajionee mwenyewe biashara za huko.....kweli itakuwa biashara za huko zinalipa nawaona wafanyabiashara wa Dar na Mwanza wanapita sana hapa mkuu
Yap nawaonaga wafanyabiashara wengi wanavuka boda kufata mizigo ila naona kama wanasumbuka sana na kodi za Tra....ofisi zao pale Kyaka zimekaa vibaya...biashara watu wengi wanapenda kuzifanya mkuu tatizo ni mitaji....
Wise boy naomba number yako