Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

.....JE NILIENDELEA AMA?...
Kwa kweli sijarud tena kuchukua huko mzigo nikaamua kubadili upepo, nikaenda maduka ya hapa dsm kwa wahindi wapumbavu watupu, wezi wale, matusi yao mizigo mibaya kama roho zao, just hasara juu ya hasara...
Kwa sasa nachukua nguo ilala na zinanilipa, kuna jamaa pale wana vijana wao wanapoint nguo kali kali wenyewe wanaita sumu, then inapofika mchana wanazitundika kwa pamoja, wamenizoe nikifika mfano mtu ana nguo kama elf 5000 katundika anakuruhusu uchague zile utakazo na wanafanyaje
1.tops nachukuaga kwa 3000 unauza elf 8000
2. Gauni ndef nachukuwa kwa 8000 nauza mwisho 15,000
3.gauni fupi 5000 nauza elf 10 mwisho
4.skin jeans nachukulia elf 5, nauza 10,000 mwisho,
5.sketi fupi 5000 na kuuza 10elf,
hvyo naona bora hii ya bongo kuliko uganda, sikutaka kuwa mchoyo kwan jf imenisaidia mengi ktk maisha yangu, pia kama kuna m2 ana ushauri kuhusu the way ninavyofanya hii biashara namkaribisha, kama kuna sehemu nyngne pana soko zuri la mtumba namkaribisha pia, nimeandika mara nyngi nyingi coz natumia 4n kuandika, karibuni wadau tusaidiane hasa vijana maisha yasonge mbele.

yaani wewe unaweza ukawa msaada mkubwa wa mawazo kwangu maana naona hii naweza kuifanya vzr hapa arusha.
 
Money stunna big respect ila na mimi naomba uni pm unipe nami iyo njia ya kodi kuna mzigo nlikua nataka niufuate sema naona utakata mpaka mtaji kama tra wakiniwekea ngumu
 
Nairobi kwa suti za mtumba wako vizuri. Kuna suti nzuri sana na bei cheee. Hawachakachui kama Dar kam ni grade one basi huwa hivyo.

Kwa suti na electronics Nai wako poa ila kaa mbali na wakora ( vibaka)

Ni kweli. Hata viatu pia. Na wabongo wengi sana wanaenda Nairobi siku hizi. Hadi bei zimebadilika.
 
sasa mkuu mbona unatuchanganya, Arusha si inakaribiana kabisa na kenya/uganda kuliko Dar?
wiseboy yeye Anachukulia Dar na anauzia Moro!

nimeona hii ya dar haina mlolongo mwingi kama ushuru na mambo yanayoweza kujitokeza mpakani lakini pia na uzoefu wa hizo nchi.na bado hii ya dar inaonekana inaweza kulipa.
 
Last edited by a moderator:

nimekusoma kiongozi, wacha tumsubiri kiongozi wiseboy tuone atakalosema
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ndugu. Umenifungua sana macho. Vp lakin ug kuingia ni free kwa njia ya mtukula? Hakuna usumbuf mpakan?

Mkuu yenyewe, hakuna usumbufu kabisa Mpaka wa Mutukula. Ukishalipia mzigo wako pale pale booking office za bus husika wao wanajua jinsi ya kuongea na watu wa TRA/IMMIGRATION...

Ukiwa na passport yako ambayo ni Valid unaingia bila wasiwasi...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yenyewe, hakuna usumbufu kabisa Mpaka wa Mutukula. Ukishalipia mzigo wako pale pale booking office za bus husika wao wanajua jinsi ya kuongea na watu wa TRA/IMMIGRATION...

Ukiwa na passport yako ambayo ni Valid unaingia bila wasiwasi...

You are right. Kuna rafiki yangu alienda huko akafunga mzigo anasema mpaka amefika hapa dar alilipa sh 60,000 tu ya ushuru. Mzigo ulikuwa wa milioni mbili
 
Ni saqa but huo sio ushuru wa mzigo bali nauli ya mzigo, ushuru nahisi huwa unalipwa kwa pamoja na wenye mabasi ili kuondoa usumbufu kwa abiria wao....

I stand to be correct!
 
You might be right me si mtaalam sana wa hii mambo.
But still ni cheap sana. Luna wallet alileta alinunua huko Tsh 6000 alikuwa anauza 20000-25,000 na zimeisha fasta. Anasema huko vitu cheap kuliko kawaida
 
Asante mkuu umetupa mwanga.... Kwa makisio ya Chini mtaji kama kiasi gani?
 
.....JE NILIENDELEA AMA?...
Kwa kweli sijarud tena kuchukua huko mzigo nikaamua kubadili upepo, nikaenda maduka ya hapa dsm kwa wahindi wapumbavu watupu, wezi wale, matusi yao mizigo mibaya kama roho zao, just hasara juu ya hasara...
Kwa sasa nachukua nguo ilala na zinanilipa, kuna jamaa pale wana vijana wao wanapoint nguo kali kali wenyewe wanaita sumu, then inapofika mchana wanazitundika kwa pamoja, wamenizoe nikifika mfano mtu ana nguo kama elf 5000 katundika anakuruhusu uchague zile utakazo na wanafanyaje
1.tops nachukuaga kwa 3000 unauza elf 8000
2. Gauni ndef nachukuwa kwa 8000 nauza mwisho 15,000
3.gauni fupi 5000 nauza elf 10 mwisho
4.skin jeans nachukulia elf 5, nauza 10,000 mwisho,
5.sketi fupi 5000 na kuuza 10elf,
hvyo naona bora hii ya bongo kuliko uganda, sikutaka kuwa mchoyo kwan jf imenisaidia mengi ktk maisha yangu, pia kama kuna m2 ana ushauri kuhusu the way ninavyofanya hii biashara namkaribisha, kama kuna sehemu nyngne pana soko zuri la mtumba namkaribisha pia, nimeandika mara nyngi nyingi coz natumia 4n kuandika, karibuni wadau tusaidiane hasa vijana maisha yasonge mbele.

Asante sana..nitakupm nambaa yangu kwa mawasiliano zaid
 
Habari wana jamvi,naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba,pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje,mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA? Msaada plz.

baada kupata nondo zoote hizi toka kwa wanaJF wenye mapenzi mema nadhani ingekuwa vyema ukitupa mshindo nyuma kama ulienda field name uhalisia uliuonaje huko name experience yako kiujumla kwa faida ya wrote humu jamvini...
 
....ila naomba kuuliza wadau, hivi kafremu ka biashara ya mitumba as mitumba inakatiwa leseni ya biashara TRA, coz kuna watu wanasema kibanda cha mitumba hakikatiwi wengne wanadai kibanda cha mitumba kinakatiwa leseni, ukwel upo wap? Msaada plz mwenye uelewa juu ya hili.
Sahihisho kidogo..TRA hawatoi leseni ya biashara bali wanatoa TIN-namba ya utambulisho ya mlipakodi pia ndo wafanya tathimini ya kodi utakayotakiwa kulipa.Leseni ya biashara inatolewa na ofisi ya afisa biashara katika h/shauri ya mji husika.
Sasa basi, biashara ya mitumba nayo ni muhimu kuikatia leseni,kuisajili BRELA na TIN kwani itakusaidia kuwa na biashara iliyo katika misingi ya kisheria huku ikikusaidia hata kwenye kuomba mikopo kwenye taasisi za kifedha.
Asante.
 
You are right. Kuna rafiki yangu alienda huko akafunga mzigo anasema mpaka amefika hapa dar alilipa sh 60,000 tu ya ushuru. Mzigo ulikuwa wa milioni mbili

Mkuu yenyewe, hakuna usumbufu kabisa Mpaka wa Mutukula. Ukishalipia mzigo wako pale pale booking office za bus husika wao wanajua jinsi ya kuongea na watu wa TRA/IMMIGRATION...

Ukiwa na passport yako ambayo ni Valid unaingia bila wasiwasi...
charminglady nimeiona ahsante mweeee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom