Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
JF ni zaidi ya shule! Asante sana kiongozi. Vp ukiwa na mtaji wa kama milion 1.5 na uko dar hii biashara mtu unaweza ukaimudu?
hiyo inatosha kwa kuanzia cha muhimu uchukue bidhaa inayotoka kwa urahisi hivyo fanya utafiti hapo kama ni nguo mfano,angalia nguo gani zinatoka kwa urahisi ukishafanya hivyo fata mzigo na uza utaona mtaji wako unakuwa.
cha kuzingatia ukifika ug ununue vitu ulivyopanga maana vizuri viko vingi pia usiingie kwenye starehe,fanya kilichokupeleka na urudi