Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Habari msaada natamani sana kwenda uganda kwaajili ya biashara ya viatu, kununua kule nilete huku. Lakini sijui pakuanzia, nafikia wapi, hotel, masoko na bei za bidhaa, jinsi y kusafirisha mzigo taxes zikoje, sina mwenyeji kabisa.

Napata woga kidogo ila ni swala nalotamani kulifanya, msaada Ma boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu ulifanikiwa kusafiri vipi yaliyosemwa humu ndo ulivyoyakuta?
 
Hebu angalia jinsi ya kuchukua Mchuzi wa Zabibu au Mvinyo kuupeleka Uganda na kule ukachukua nguo kuleta Tz.
Naomba elimu kuna mtu amewahi kunidokeza hii biashara.

Uganda wanahitaji sana ule mchuzi?
 
Ukienda Dodoma wanatengeneza na kuuza majumbani hasa sehemu za Hombolo na Msalato. Unaweza kuweka makubaliano ya jinsi ya kuboresha vifungashio na kuanza kuuza nje ya nchi.
 
Maana kwa hapa tanzania mnunuaji ni Tanzania distilllers.
 
Sijawahi kufanya hii research,nitaifanya mkuu nijue wanatumia pressing machine ya aina gani kukamua ile zabibu.
 
Maana kwa hapa tanzania mnunuaji ni Tanzania distilllers.
Hapana, hii huwa wanatengeneza pombe na huuzwa majumbani. Kwa ujumla zabibu bado haijafanyiwa kazi sana kitaalamu na nyingi huharibika shambani na viwanda vyetu bado havijaweza kununua zabibu zoote zinazozalishwa na wakulima
 
Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
 
Hongera sana mkuu endelea kutupa updates, wengine tunajifunza kutoka kwenu,
Umefanya jambo la msingi sana kuleta mrejesho
 
Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
Hongera sana.
it will be much better ukaendelea kutoa updated ushuhuda tukaendelea kujifunzi, nasi siku ya siku tuweza kujitosa kwa namna moja au nyengine
 
Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
hongera sana
 
Back
Top Bottom