kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Ambacho huku kinauzwaje mkuu?Mwaka juzi niliuliza kiatu aina ya Sebago
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambacho huku kinauzwaje mkuu?Mwaka juzi niliuliza kiatu aina ya Sebago
Ndugu ulifanikiwa kusafiri vipi yaliyosemwa humu ndo ulivyoyakuta?Habari msaada natamani sana kwenda uganda kwaajili ya biashara ya viatu, kununua kule nilete huku. Lakini sijui pakuanzia, nafikia wapi, hotel, masoko na bei za bidhaa, jinsi y kusafirisha mzigo taxes zikoje, sina mwenyeji kabisa.
Napata woga kidogo ila ni swala nalotamani kulifanya, msaada Ma boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo mwanza nitafute ata mimi nafanya hiyo biashara nitakuunganisha na watu wanaoenda kampala
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba elimu kuna mtu amewahi kunidokeza hii biashara.Hebu angalia jinsi ya kuchukua Mchuzi wa Zabibu au Mvinyo kuupeleka Uganda na kule ukachukua nguo kuleta Tz.
Ukienda Dodoma wanatengeneza na kuuza majumbani hasa sehemu za Hombolo na Msalato. Unaweza kuweka makubaliano ya jinsi ya kuboresha vifungashio na kuanza kuuza nje ya nchi.Naomba elimu kuna mtu amewahi kunidokeza hii biashara.
Uganda wanahitaji sana ule mchuzi?
Ndio upoje huu? ni tofauti na dompoMchuzi wa Zabibu
Ndio hiyo dompo. Ila mimi nauita mchuzi kwa kuwa unaweza kuupata kabla haujachachushwa kuwa pombeNdio upoje huu? ni tofauti na dompo
Maana kwa hapa tanzania mnunuaji ni Tanzania distilllers.Ukienda Dodoma wanatengeneza na kuuza majumbani hasa sehemu za Hombolo na Msalato. Unaweza kuweka makubaliano ya jinsi ya kuboresha vifungashio na kuanza kuuza nje ya nchi.
Sijawahi kufanya hii research,nitaifanya mkuu nijue wanatumia pressing machine ya aina gani kukamua ile zabibu.Ukienda Dodoma wanatengeneza na kuuza majumbani hasa sehemu za Hombolo na Msalato. Unaweza kuweka makubaliano ya jinsi ya kuboresha vifungashio na kuanza kuuza nje ya nchi.
Hapana, hii huwa wanatengeneza pombe na huuzwa majumbani. Kwa ujumla zabibu bado haijafanyiwa kazi sana kitaalamu na nyingi huharibika shambani na viwanda vyetu bado havijaweza kununua zabibu zoote zinazozalishwa na wakulimaMaana kwa hapa tanzania mnunuaji ni Tanzania distilllers.
Mashine zipo na zinauzwa SIDOSijawahi kufanya hii research,nitaifanya mkuu nijue wanatumia pressing machine ya aina gani kukamua ile zabibu.
Hongera sana mkuu endelea kutupa updates, wengine tunajifunza kutoka kwenu,Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
Hongera sana.Habarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
hongera sanaHabarini wakuu wa Jamvi nilisahau kuleta mrejesho ...nilikwenda UG na mambo ni mazuri sanaaa... Nilifata ushauri wenu na sana sana Dumelang ulitoa ushaur mzuri na niliufanyia kazi 100% .. Na nshapiga trip za kutosha na mwezi November nasafir tena Mungu akinibariki uzima ....
Asanteni sana kwa muongozo
Hongera sana.
it will be much better ukaendelea kutoa updated ushuhuda tukaendelea kujifunzi, nasi siku ya siku tuweza kujitosa kwa namna moja au nyengine
Shukranhongera sana
nami nna safari ya huko mwezi desemba